JAMANI Messi noma.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JAMANI Messi noma..

Discussion in 'Sports' started by VUTA-NKUVUTE, Apr 11, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,782
  Likes Received: 5,549
  Trophy Points: 280
  Baada ya goli la jana alilofunga dhidi ya Getafe katika ushindi wa Barcelona wa mabao 4-0,Lionel Messi amefikisha mabao 61 katika mashindano yote msimu huu.Sasa anamzidi kwa mabao mawili Christiano Ronaldo wa Madrid kwa mabao 2 La Liga.Messi ana 39,Ronaldo 37.Messi ni sooo..
   
Loading...