Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,477
- 13,993
- Thread starter
- #21
Labda Maisha ndivyo yalivyowatengeneza kuwa hivyoMimi nashindwa kuelewa watu wana roho za namna gani?
Wana moyo kama wetu kweli?🤔
Mimi kuhisi tu mtu anaumia kwa ajili yangu siwezi kua na amani
Hawa watu wanaweza je🤔🙌🏼
Najua tunapitia background tofauti,hizo ndiyo zitaamua Leo tuwe watu wa aina gani..
Wenye roho katili wapo.lakini inahuzunisha zaidi pale inapowaangukia watu kama hawa.