K Kiwembe Member Joined May 23, 2011 Posts 11 Reaction score 0 May 26, 2011 #1 Wana jf hv hawa clouds ni radio ya ccm mbona vp vyao havipo balance au ndo tuseme ni radio ya propaganda naomba mnitoe utata jamani
Wana jf hv hawa clouds ni radio ya ccm mbona vp vyao havipo balance au ndo tuseme ni radio ya propaganda naomba mnitoe utata jamani
RUMANYIKA JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 315 Reaction score 74 May 26, 2011 #2 Hivi hamna redio zingine za kusikiliza mpaka hiyo cloud.
Ipi dot com JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 306 Reaction score 166 May 28, 2011 #3 Kiwembe said: Wana jf hv hawa clouds ni radio ya ccm mbona vp vyao havipo balance au ndo tuseme ni radio ya propaganda naomba mnitoe utata jamani Click to expand... kivipi mkuu?
Kiwembe said: Wana jf hv hawa clouds ni radio ya ccm mbona vp vyao havipo balance au ndo tuseme ni radio ya propaganda naomba mnitoe utata jamani Click to expand... kivipi mkuu?
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 May 29, 2011 #4 Niyawahuni ile mtu bila aibu anatukana na kukashifu wazee. Serikali isipoangalia yatajatokea yale ya rwanda kipindi kinaendeshwa kwakuongea utumbo mtupu sio radio yakusikiliza kabisa jihadharini chukueni hatua
Niyawahuni ile mtu bila aibu anatukana na kukashifu wazee. Serikali isipoangalia yatajatokea yale ya rwanda kipindi kinaendeshwa kwakuongea utumbo mtupu sio radio yakusikiliza kabisa jihadharini chukueni hatua