Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
Habar za jf kama kichwa cha kinavoeleza! Nimenunua kifurush cha sh2500 asubuhi hii cha kushangaza hata sikumaliza dk15 kimeisha! Najua kuna wengi humu ndani wanajua namna ya kutumia intarneti bure bila kulipia chochote naombeni na mimi mni pm kama kuna mwenye ufaham wa hilo kwa maana voda wamenimaliza shukrani wana bodi.
we chief-mkwawa ni mb5oo za voda au typo?

hebu tujuze zaidi mkubwa, hii *149*02# wanauliza "USSD response 160" unajibu nini hapo mkuu?pia choice ya bundle.
Voda now kwa sh 500 unapata sms 500 na mb 500 za internet ambazo kwa siku kama hudownload sana zinatosha na kubaki kujiunga *149*02#
tigo wana megabox mb20 za speed na zinazofuatia unlimited kwa speed ndogo bei sh 400 au 450 kama sjakosea kujiunga *148*01#
zantel wana bronze sh 4000 unapata mb600 kwa mwezi mzima
so ufanye vizuri choice ya bundle utakayonunua maana kuna bundle ni bei kubwa then volume ya mb's ni ndogo
we chief-mkwawa ni mb5oo za voda au typo?
Angalia unacho download, isije ikawa zile za XXXXXXX[/QUSijadownload chochote tofaut ya kuingia fb,jf nk
pia choice ya bundle.
Voda now kwa sh 500 unapata sms 500 na mb 500 za internet ambazo kwa siku kama hudownload sana zinatosha na kubaki kujiunga *149*02#
tigo wana megabox mb20 za speed na zinazofuatia unlimited kwa speed ndogo bei sh 400 au 450 kama sjakosea kujiunga *148*01#
zantel wana bronze sh 4000 unapata mb600 kwa mwezi mzima
so ufanye vizuri choice ya bundle utakayonunua maana kuna bundle ni bei kubwa then volume ya mb's ni ndogo
Hiyo ya bronze ya zantel, 4,000 kwa 600mb