jana kulikuwa na msururu wa ma dereva piki piki barabarani waliojawa na huzuni nadhani ilikuwa ni kumzika mwenzao!
UNCOMFIRMED
Naskia mwenzao alichinjwa!
Kuna jamaa anashikiliwa na police kwa kuhusika na tukio hilo !
Sasa leo hii madereva wanamtaka huyo jamaa anaeshikiliwa na polisi ili walipize kisasi ! Ndiyo chanzo cha mabomu ya machozi hiki !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.