mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,495
Sijui hua unangalia picha gani mitandaoni
eeeenh Mama Mdogo taratibu, wengine ndoa zetu bado changa
Zina nini jamani mbona mwanifukuza ? Sasa napenda hali hiyo,inanipa tabu nimefika hadi kumuoda nasi,nae alikuwa mnhu kanizidisha maradhi ,unajua vikoti vyao ,mtu anakuwona waziwazi unachunguliayah ! Kanishauri nivae miwani nitapunguza joto la miguu !
Tobaah ,aloo ,hii naona ni 64GB ,ila haya yanakaribia basket ball ,na kweli kifo nakiona mbele yangu ,hapa basi moyo wangu nauona wakimbiah , yanakuwepo yale ya 32GB na yanakuwa na hatari zaidi anapokuwa mdada amevalia nguo za kawaida tu sio naked like thaaat ! ukute nguo imeachwa wazi kidogo tu ,basi huwa nakaribia kuaibika ,ndio maana daktari kanishauri nivae miwani myeusi !
Unaitajitoba halisi
sasa mwiba mbona utateseka sana! Maana njuavyo mimi hayo saa sita yana umri wake ya mkeo yakishachoka utafanyaje
Anajitoa ufahamu tu utakuta ni babu na midevu yake
Anajitoa ufahamu tu utakuta ni babu na midevu yake
Kwa asili yake mwanamke anapobalehe matiti yakiota huya yamesimama wima, na hali hii huendelea kwa muda, na baadaye huanza kuinama kutokana na sababu kuu tano: umri, mazoezi yanayosababisha matiti kutingishika mfano kukimbia, kuruka, kuongezeka uzito, na uvutaji sigara; ila kumbuka, kunyonyesha haskuangushi matiti. Ila unavyoyashabikia matiti dodo wewe kijana utakufa kabla ya muda wako, unahitaji ushauri nasaha na ikishindikana basi upate maombezi ya toba. Angalia hayo hapo uongeze dhambi zako mwenyewe!!!
View attachment 198484
kwangu matiti na wowowo si ishu
ta...ko la kawaida,umbo la kawaidaKwako ishu ni nini
ta...ko la kawaida,umbo la kawaida
Kusema kweli sawabu au tunasema msema kweli mpenzi wa Mungu natumai kwa hapo tunakubaliana, mwenzenu mbali ya kutangaza na kutaka ushauri kwa kila ninaloliona lipo njia ya panda kwangu, nakuja JF 1
Sasa nimevumilia lakini naona kwa hili halivumiliki ,hivi kwa nini yale matiti yaliokaa au yaitwayo saa sita ,yamesimama yamechonga mbele yamejaa kiushindani ,sio yamejaa kama mpira wa miguu ,a'ah' yaani yapo utaona tu yamechomoza na hayakung'ang'ania kifua ,wadada walio na aina hii basi wajue wamebahatika kwangu.
Mimi huyaita mapapai mabichi.
Hivi haya yanaplay part katika kumpenda na wadada walio na dizaini hii wanaringa kupita maelezo ,hapa JF sijaona ,cjui ila kama mmpo tuwekeeni picha, ole wako wengine wanategemea sidiriya kutegeshah, mbona nilimkimbia siku moja, aloo ni flate tyre na bado kijana kabisa, sijui anayalalia, nilitoka baruti wala sijui nilisahau kitu gani, niliaga kiaina tu.
Hivi huwaga mnatumia mitishamba au ni kitu natural?
ta...ko la kawaida,umbo la kawaida
unayo eeeh?aisee lazima tuongeeAsante......