Jamani mama mwenye nyumbaa!!!!

Jamani mama mwenye nyumbaa!!!!

Bandabichi

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
230
Reaction score
42
Nimehamia nyumba hii sina zaidi ya miezi miwili, Huyu mama bado ni binti na mtoto wa miaka mitatu hivi, tunaishi mimi na yeye nyumba nzima. sasa vituko haviishi mara atoke chumbani kwake kifua wazi, mara sidiria na skinitaiti, mara kanga ndembendembe na mimi ndo bado.
Mzee ni kibopa mjini so ni nyumba ndogo kwa hiyo kampangishia kwenye nyumba hii ambayo mi naishi. Mama mwenye nyumba mashalahhh urefu wa twiga, umbo namba nane si unajua hawa wanene nao kwa kuchagua, hata sijui nimefikaje kwenye nyumba hii.
hawa madarari hawa jamani wanataka kunisababishia nini mimi?
 
muulize babu seya kudandia ndururu za vibopa

akikusamehe saaana anakutemeke
 
mmmh....fuata yaliyokupeleka! Utanasa weweeeeeeee....
 
Yamekuwa hayo tena jamani? Jamani si manjua uzungu na nikitokea huwa anajifanya anshituka, hlf mimi napotezea na unajua joto sana siku hizi. Kwani nyie hamjui kuna mabadiliko ya hali ya hewa.
 
mwana wewe mpe dozi tuu huyo dada. yaani vibosile watuzidi kwenye kupata fuba na pia wanawake wale wao tuu!! hapana bwana mega na wewe uone utamu anaopata huyo jamaa
 
Nimehamia nyumba hii sina zaidi ya miezi miwili, Huyu mama bado ni binti na mtoto wa miaka mitatu hivi, tunaishi mimi na yeye nyumba nzima. sasa vituko haviishi mara atoke chumbani kwake kifua wazi, mara sidiria na skinitaiti, mara kanga ndembendembe na mimi ndo bado.
Mzee ni kibopa mjini so ni nyumba ndogo kwa hiyo kampangishia kwenye nyumba hii ambayo mi naishi. Mama mwenye nyumba mashalahhh urefu wa twiga, umbo namba nane si unajua hawa wanene nao kwa kuchagua, hata sijui nimefikaje kwenye nyumba hii.
hawa madarari hawa jamani wanataka kunisababishia nini mimi?

Mitihani midogo tu hiyo potezea, kaa kivyako au owa wa kwako, hao wengi ni wagonjwa !!
Kama hamkua makini hamtafikia umri wetu. Hao ni wachache tu miongoni wa wazuri !!
 
Usichezee mali za vibopa utapotea kijana! Chanzo cha mabaya ni pesa na wasichana chunga sana alishasema Salu T.(Salu T ni msanii wa kizazi kipya pia ni writer)
 
Mzabzab unanitakia mema kweli wewe?

Acha upanchukunazi wewe!
Hebu ongea ukweli maana inaonyesha unamtamani huyo jimaa ila angalia kushoto na kuli coz unaweza fanyiwa kitu mbaya na watu wa mjini.
Ikiwezeka hama nyumba maana hawakawii kukurudi halafu ukawa sio riski tena.
 
Duniani kuna maajabu mengi duu! Hivi kwa nini binadamu usahau haraka kuliko pusi?
*Juzi mwenzio kanasa!
*Two weeks back mwenzio kavamia kabinti kaukwaa alaf kajinyonga.

Na wewe unataka nini?
Si uoe!
 
mnyoshe huyo acha kulemba mwandiko utakuwa zobaaaaa,kibopa wa kwanza yeye!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom