Jamani maloan officer mnalaana

Jamani maloan officer mnalaana

Jamani kuna kazi mtu ukiingia ni lazima uwe mhuni au ni tabia za mtu. Huyu demu wangu kila siku anaingia kitaa sa tatu usiku then analetwa na lifti ya workmate wake tena wa kiume sasa nimejalibu kuchunguza 98% ya muda wao wa kazi wako pamoja mpaka lunch kila siku vikao. Jumapili moja sasa ambayo ndo moyo wangu uliumia ni pale nilipokuta wako eneo la starehe na jamaa wakila cone tena wako wenyewe bila maoficer wengine kujakumuuliza kanidanganya eti alikuwa kwenye kikaoo wakubwa zake walikuja. Embu ushauri jamani nijiondokee taratibu au nimweleze ukweli
Mkuu karibu JF.
Sasa ishu za mahusiano kama hiyo yako hujadiliwa katika jukwaa maalumu linaitwa 'jukwaa la mahusiano, mapenzi na urafiki'
huku utapewa ushauri na magwiji wa mambo hayo.
Bofya hapa:Mahusiano, mapenzi, urafiki
 
Wenzio wanawaza ajira,we unawaza mapenzi tu.
 
Jamani kuna kazi mtu ukiingia ni lazima uwe mhuni au ni tabia za mtu. Huyu demu wangu kila siku anaingia kitaa sa tatu usiku then analetwa na lifti ya workmate wake tena wa kiume sasa nimejalibu kuchunguza 98% ya muda wao wa kazi wako pamoja mpaka lunch kila siku vikao. Jumapili moja sasa ambayo ndo moyo wangu uliumia ni pale nilipokuta wako eneo la starehe na jamaa wakila cone tena wako wenyewe bila maoficer wengine kujakumuuliza kanidanganya eti alikuwa kwenye kikaoo wakubwa zake walikuja. Embu ushauri jamani nijiondokee taratibu au nimweleze ukweli

Jifunze kujiamini. Kama unaona hapa kuna querry kwann usifanye ka research kidogo kubaini hilo. Kwani hujui mazingira ya kazi ya loan officer wako!? Acha uvivu!
 
Jamani kuna kazi mtu ukiingia ni lazima uwe mhuni au ni tabia za mtu. Huyu demu wangu kila siku anaingia kitaa sa tatu usiku then analetwa na lifti ya workmate wake tena wa kiume sasa nimejalibu kuchunguza 98% ya muda wao wa kazi wako pamoja mpaka lunch kila siku vikao. Jumapili moja sasa ambayo ndo moyo wangu uliumia ni pale nilipokuta wako eneo la starehe na jamaa wakila cone tena wako wenyewe bila maoficer wengine kujakumuuliza kanidanganya eti alikuwa kwenye kikaoo wakubwa zake walikuja. Embu ushauri jamani nijiondokee taratibu au nimweleze ukweli

kajifunze kuandika kwanza kisha ndiyo uombe ushauri, maana umeandika kama miguu ya bata imepita
 
Mkuu hapo ukiona manyoya ujue mnyama kaliwa hakuna kazi hapo hiuyo kasharubiuniwa na tusent twa rushwa wanatopata hao ma LO cha msingi mchunguze ama la nicheki pm nikupe software ya kunasa mawasiliano yake ili ujue tu moja mkuu.otherwise pole sana
 
Back
Top Bottom