MI bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi sema alikuwa aanijiongeza anaangalia nini kimemss anaongezea.
Tumeenda vizuri kwa tumeishi kwa furaha saanaa gafla mambo yakaanza badilika baada ya mwenzi mmoja na nusu mawasiliano yakapungua kwa kasi
Acha ujinga wewe mwanamke hapendwi bwana. Mwanamke ni wa kugegeda tuu na kutupa kule....ebu fanya kupitia ule uzi wa wanawake warembo duniani ujione ulivyo bwege kwa kusumbuliwa na mbususu mojaHabarini wadau na washauri wa JF
MI bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi sema alikuwa aanijiongeza anaangalia nini kimemss anaongezea.
Tumeenda vizuri kwa tumeishi kwa furaha saanaa gafla mambo yakaanza badilika baada ya mwenzi mmoja na nusu mawasiliano yakapungua kwa kasi ya 4g mara sms zikapungua kujibu hadi ajifikirie na ukimpigia hata ukimwambia may be i love u anajibu thansk nacho umia akiitaji chochote tokea kwangu nampa mapema kabisa kuna muda hata hajaniomba namwambia may be kasuke naona nywele zimechoka nampa 50k nafanya vitu vingi sanaaa juu yake.
Kinachoniuma ni kwamba hana muda na mimi na kwangu hataki kuja na swala la game ukiomba mpaka upewe ni kazi tena bao moja pia hayupo romantic si yule wa kutoa support ukiwa nae faraghaaa yupo tu.
Nisaidieni wadau nimwacheje mana naumia sana kuna muda naharibu hadi kazi kwasababu nakuwa namuwaza sanaaaaa.
KUPENDAA KUNAUMA SANAA
Mapenzi hayana comandooHabarini wadau na washauri wa JF

Mnavyojikutaga makomando kwenye keyboard sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha ujinga wewe mwanamke hapendwi bwana. Mwanamke ni wakugegeda tuu na kutuoa kule....ebu fanya kupitia ule uzi wa wanawake warembo duniani ujione ulivyo bwege kwa kusumbuliwwa na mbususu moja
miezi kama 2 ila mwezi huu wa kumi ndo mambo yamechange kabisa moja wala mbili haikaiHebu weka sawa hapa...
Hivyo vitu vingi sana vilivyofanyika, vimefanyika ndani ya huo mwezi mmoja na nusu?
Au kwa lugha nyingine, umri wa mahusiano yenu ni mwezi mmoja na nusu tu?
miezi kama 2 ila mwezi huu wa kumi ndo mambo yamechange kabisa moja wala mbili haikai