Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Kuna chumba hapa maeneo ya kwa Bi. Nyau 20,000/= kodi ya mwaka ni-pm.
eti "JAMANI MAGOMENI"....acha kubana pua mtoto wa kiume
eti "JAMANI MAGOMENI"....acha kubana pua mtoto wa kiume
Wadau, kuna mpendwa
mmoja beste yangu anahitaji chumba maeneo ya magomeni, isiwe tu ni kwa
Mtogole. Bajeti yake ni 25,000 per month. Sasa wenye akili watasema
ati ni mimi najipigia debe!! Kama unajua mahali please text here: 0769
356124