walimtumia whitney wakamchoka wakamuua, wakamreplace na kina beyonce rihanna nicki etc. huyu nae mkija kuskia kafa kifo cha ajabu tusishangae,koz mrithi wake lady gaga ashapatikana.
Kuna mijitu mingine huwa haiamini kama hayo mambo yapo kwa sababu haitaki kujifunza na kufatilia mambo ya ulimwengu yanaendaje ndio maana inaishia kusema ni
kuna mijitu mingine huwa haiamini kama hayo mambo yapo kwa sababu haitaki kujifunza na kufatilia mambo ya ulimwengu yanaendaje ndio maana inaishia kusema ni
wekeni na nyie tutako twenu tuone,km hatujakimbiana humu?:lol::lol::lol::lol::lol:...for a woman her age,she is doing great....sijui ndio mazoezi au yoga?