BAK, kwa mwanamke mwenye busara, akiingia tu anaweka ukaribu wa kutosha na mama mkwe na wifi zake. that way (its a strategy too,knw!) inakuwa rahisi hata kusimamia baadhi ya mambo. trust me, kuna vitu vinaweza kuwa na maana kwa mama yako ila ww usielewe na mkeo akaelewa na kumpa support! ila sasa kama mwanamke mwenyewe umeoa ana matusi namna ya huyu mu-oldmoshi, hata mamake mzazi atakuwa anamkimbia. hakuna haja ya kutumia lugha kali kwa mtu aliyekuzidi umri, isitoshe kiasi kwamba anaweza kuwa mzazi wako. huyu mama hata mumewe atakuwa anamtukana hivi hivi, manake kama mtu anajibu msg za mamako kwa kashfa na wewe unakubaliana nae! well, im sorry to say huyu kaka nae yuko weak sana! i guess i love a masculine man!
hhhhahaha nyumba kubwa so inawezekana na huyo mama mkwe naye hii ndo comes around yake !! Kuwa naye ndo anayapokea malipo yake sasa?Afu usemi wa what goes around comes around una apply hapa pia. Kwani huyo mwanamke hana watoto? Ngoja atapata wakwe wa kumtwanga mangumi na si kumtukana tu. Malipo duiniani. Hamna kitu kibaya kama kumfanya mzazi atoe chozi na kujutia kukuzaa.

Nadhani hilo la ku address kabila mumsamehe bure ni hasira tu. Ndiyo maana hata tukiolewa wazazi wanatuambia tu behave otherwise ndiyo mnatukanwa ukoo mzima! Mfano dada yako akiolewa akawa na vituko vya kupitiliza anaweza afanye hata wadogo zake wasiolewa reference ikiwa ni dada.

Nyie wanne mnamsaidiaje Mama yenu? Elfu hamsini haiwezi kuwa tatizo kwa watu wazima wanne kumpata Mama yao!

sasa weee dada buku 50 tu inakutoa roho mpaka unatangaza humu?? vitu vidogo tu hivyo,,au wee ndo umelogwa?? kwanza umeolewa kweli wewe? labda tuanzie hapo
mpeni mda
labda ndoa bado changa
Baba ye2 alikufa mwaka 1989 aka2acha watoto wa 5 wa kike wa4 wa kiume1. Wakiume ni wa3 kuzaliwa na mkubwa alizaliwa 1977 na wamwisho 1984, baba alipofariki mama alikua hafanyi kazi ilimpasa afanye kazi nyingi ikiwemo kubeba zege kufagia barabara, nk aka2somesha wote hd form 4had 6, tukaolewa na kaka akaoa mamay2 kazeeka watoto wakike wote 2nashirikiana wote kum2nza kivumbi ni kakaye2 na mkewe hawataki kabisa kumsaidia mama, mama aliumwa akafanyiwa oparation 2kajichanga wakike wote 2lipomfata kaka akatoaelf 40 wifi akachukia akaondoka na akarudi mwenyewe anzia hapo kaka hatoi hata 10 tukimuuliza kwanini hamtunzi mama WIFI anasema mumewe anajenga km cc hatuwez kumtunza eti MAMA AKAIBE, tangu mama aambiwe hivyo amekua analia mara kwa mara NAMUHURUMIA SANA MAMA YETU ANATUPENDA SANA NA ALITESEKA SANA KU2LEA 2nashindwa kuelewa kaka ye2 amekubwa na nini.
Angel poleni sana unajua madhila mengine tunajitafutia sisi wenyewe! Humjali mzazi afu yakikufika ya kufika unakumbilia JF na mitaani kulia na kuomba shauri mbalimbali!!Baba ye2 alikufa mwaka 1989 aka2acha watoto wa 5 wa kike wa4 wa kiume1. Wakiume ni wa3 kuzaliwa na mkubwa alizaliwa 1977 na wamwisho 1984, baba alipofariki mama alikua hafanyi kazi ilimpasa afanye kazi nyingi ikiwemo kubeba zege kufagia barabara, nk aka2somesha wote hd form 4had 6, tukaolewa na kaka akaoa mamay2 kazeeka watoto wakike wote 2nashirikiana wote kum2nza kivumbi ni kakaye2 na mkewe hawataki kabisa kumsaidia mama, mama aliumwa akafanyiwa oparation 2kajichanga wakike wote 2lipomfata kaka akatoaelf 40 wifi akachukia akaondoka na akarudi mwenyewe anzia hapo kaka hatoi hata 10 tukimuuliza kwanini hamtunzi mama WIFI anasema mumewe anajenga km cc hatuwez kumtunza eti MAMA AKAIBE, tangu mama aambiwe hivyo amekua analia mara kwa mara NAMUHURUMIA SANA MAMA YETU ANATUPENDA SANA NA ALITESEKA SANA KU2LEA 2nashindwa kuelewa kaka ye2 amekubwa na nini.

<br / mama yetu ni kila kitu kwenye maisha y2 bila yeye ht hyo wifi asingeolewa na kaka y2 na hy kaka ye2 asingemuoa, inakuwaje leo WANAMDHARAU NA KUMTUKANA MAMA! INANIUMA SAAANA SOMETIMES NATAMANI BABA AFUFUKE AJEKUTUSAIDIA KUMFARIJI MAMAAngel poleni sana unajua madhila mengine tunajitafutia sisi wenyewe! Humjali mzazi afu yakikufika ya kufika unakumbilia JF na mitaani kulia na kuomba shauri mbalimbali!!

<br / garama za oparation tulichana watoto wote wa kike alipoambiwa kaka achangie akatoa elf 50 wifi akachukia akaondokaghalama za oparation alilipia nani,,huenda huyo wifi alichoka kuona matibabu yametoka kwao pamoja na hiyo 50 bado jiko litoke kwao tena? ushauri ni kwamba nyinyi mawifi ndo huwa mnaharibu ndoa za wakaka zenu..utakuta hata mama hananeno....yeye kapozwa na matibabu +50 basi inakuwa pouwa

<br / mama yetu ni kila kitu kwenye maisha y2 bila yeye ht hyo wifi asingeolewa na kaka y2 na hy kaka ye2 asingemuoa, inakuwaje leo WANAMDHARAU NA KUMTUKANA MAMA! INANIUMA SAAANA SOMETIMES NATAMANI BABA AFUFUKE AJEKUTUSAIDIA KUMFARIJI MAMA

Angel poleni sana unajua madhila mengine tunajitafutia sisi wenyewe! Humjali mzazi afu yakikufika ya kufika unakumbilia JF na mitaani kulia na kuomba shauri mbalimbali!!

<br / TUNAMWOMBA SANA MWNYEZ MUNGU AMPE MAMA YE2 MAISHA MAREFU HUENDA SIKU 1 KAKAYE2 ATATAMBUA MAKOSA YAKE NA KUJIRUDI KUMWOMBA MAMA MSAMAHA SBB KL SIKU MAMA ANALIAUnaandika haya kwa uchungu mkubwa sana. Poleni sana jitahidini kumfariji mama yenu kutokana na vitendo vinavyofanywa na Kaka yenu na mkewe. Mjitahidi sana ama anaweza kuaga dunia (Mungu apishilie mbali) siku si zake baada ya kukata tamaa na maisha hasa ukitilia maanani alivyohangaika na kujinyima ili kuwasomesha muweze kujitegemea.