Jamani Laptop hai-connect na LAN

Jamani Laptop hai-connect na LAN

leroy

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
1,623
Reaction score
2,227
Waungwana Habari Zenu.

Msaada kidogo...Natumia Laptop ya HP 620. Kila niki-connect na waya wa LAN kwenye LAN port kale kataa kana blink lakini sipati Internet. Nifanyeje?
 
Waungwana Habari Zenu.

Msaada kidogo...Natumia Laptop ya HP 620. Kila niki-connect na waya wa LAN kwenye LAN port kale kataa kana blink lakini sipati Internet. Nifanyeje?
mkuu kuchomeka tu waya sio kupata internet...nikupe mfano rahisi...sio kila aliyeunganishiwa bomba la maji na kampuni ya maji atapata maji wakati wote...kuna mda huwa yanakatika ingawa line ya bomba unayo...umenisoma apo! ok

kuna mambo muhimu ya kujiuliza unapokuwa unaunganisha waya wako kwenye pc...
  1. ni kweli huo waya una internet mda huo?
  2. ni configurations gani za IP Address zinatumika ili uwe connected ? (kuna automatic na manual )
  3. kama ni automatic ok, kama manual then unazijua? hizi huwa anazijua Network admin wako.

hayo ni baadhi tu...ukitoa maelezo juu ya hayo utaweza kusaidika kwa urahisi...
 
Back
Top Bottom