Jamani kweli huu ni uungwana?

Jamani kweli huu ni uungwana?

IHANDA

Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
62
Reaction score
15
Kuna boyfriend wangu ambaye 2mekuwa wote ktk mahusiano kwa muda wa miaka minne toka tunasoma secondary lakini ameamua kuwa na mahusiano na mpangaji mwenzangu..,ambaye anasoma chuo kikuu hapa mjini na mm ndo nilimtafutia chumba. Niligundua kuwa ananifanyia ubaya huo siku moja ikiwa aliwah niaga siku mbili kabla kuwa anasafiri kwenda Arusha badala yke yupo gest fulan hapa mjini. kumbe mungu mkubwa pale gest kuna mtu anamfahamu na ananifahamu mimi lakin yeye hamfahamu. huyo ni jiran yetu hapa tulipopanga ndo akanipgia simu kuwa mumeo yuko na yule mpangaji mgeni. ndo 2kaenda na mjumbe na watu wawili na tukamfuma live. Je mie nifanyeje wanajf?
 
^^
IHANDA
Huyo ni boyfriend au Ni mumeo? Hayo ni mambo mawili tofauti na yanasitahili uzito tofauti wa uamuzi.
^^
 
Last edited by a moderator:
La hasha huo si uungwana...
Kwa kuwa huyo ni BF, unaweza kusitisha mahusiano yenu na ukaangalia usawa mwingine...
Halafu kuna kitu kimenifanya nicheke, hivi fumanizi la BF au GF nalo lahitaji mjumbe wa mtaa!!
 
siku moja ikiwa aliwah niaga siku mbili kabla kuwa anasafiri kwenda Arusha badala yke yupo gest fulan hapa mjini. kumbe mungu mkubwa pale gest kuna mtu anamfahamu na ananifahamu mimi lakin yeye hamfahamu. huyo ni jiran yetu hapa tulipopanga ndo akanipgia simu kuwa mumeo yuko na yule mpangaji mgeni. ndo 2kaenda na mjumbe na watu wawili na tukamfuma live. Je mie nifanyeje wanajf?


-Huyo mfanyakazi wa Guest anakufahamu kwasababu alishawahi kukuona wewe mara nyingi ukipelekwa hapo
-Ikiwa nimefahamu vyema huyo BF na sio mchumba maana hujamtambulisha nyumbani na wala mume sidhani kama mmefunga ndoa ...sasa vipi unamuita mumeo
-Hao wajumbe inawezekana kama hawana kazi...mnakokotana kumfumania BF wa mtu

Ningekuwa mimi kwanza hiyo relatioship ya 4yrs kwangu ni big NO, naona kama ni time wasting na hakuna malengo, kwahiyo sidhani kama ningekaa mpaka muda huo nisubiri ya kunikuta. Kwa muda huo huyo jamaa ungeweza kujua vizuri tabia zake, sisi wanawake tunauwezo wa kusense something wrong lakini sijui ni penzi linatutia upofu.

Pili unataka nini zaidi besti wako anakula uroda na BF wako, mmmh hapo huyo anajipumzisha tu anasubiri basi lake lifike aondoke au kama utaendelea kuwa nae expect more of that ...

Good luck
 
huo si ustaarabu hata chembe. Kwani bf/gf relationship kuna serious commitment gani? Hakuna! Basi cha msingi ni wewe kumshukuru Mungu kwa kufungua hilo fumbo mapema kabla ya any other serious commitment kama ndoa, so you just move on with your life.
Wish you the best of luck.
 
Kuna boyfriend wangu ambaye 2mekuwa wote ktk mahusiano kwa muda wa miaka minne toka tunasoma secondary lakini ameamua kuwa na mahusiano na mpangaji mwenzangu..,ambaye anasoma chuo kikuu hapa mjini na mm ndo nilimtafutia chumba. Niligundua kuwa ananifanyia ubaya huo siku moja ikiwa aliwah niaga siku mbili kabla kuwa anasafiri kwenda Arusha badala yke yupo gest fulan hapa mjini. kumbe mungu mkubwa pale gest kuna mtu anamfahamu na ananifahamu mimi lakin yeye hamfahamu. huyo ni jiran yetu hapa tulipopanga ndo akanipgia simu kuwa mumeo yuko na yule mpangaji mgeni. ndo 2kaenda na mjumbe na watu wawili na tukamfuma live. Je mie nifanyeje wanajf?

Chunguza ubaini ni kwa nini ametoka nje. Ukishajua sababu itakuwa rahisi kuamua aina ya uamuzi wa nini cha kufanya.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Si uungwana kabisaa, na ushukuru ni BF si mume, so wala isikuume saana, temana nae na umpotezee kama humjui vile!!!!!
 
La hasha huo si uungwana...
Kwa kuwa huyo ni BF, unaweza kusitisha mahusiano yenu na ukaangalia usawa mwingine...
Halafu kuna kitu kimenifanya nicheke, hivi fumanizi la BF au GF nalo lahitaji mjumbe wa mtaa!!

haahaaha!best Hata miye hapa nimecheka kidog mana cjawah ona!
 
enheeee.. baada ya kumfumania ikawaje?
 
Nawashukuru sana kwa ushauri wenu wanajf, kinachonisumbua zaid nishndwe kuchukua uamuz, yeye ndo kanisomesha toka elimu ya advance mpaka chuo...naumia sana nikimuacha moyo unauma kwa kuwa kanisomesha pia hata kuish naye sina hamu naye...
 
Yan ni bado hatujafunga ndoa na nilishamtambulisha nyumbani. na kwao wananifahamu lakini mwenzangu mara nyng halali nyumbani, nikimuuliza anasema kama ninataka na mimi nikalale ninakotaka....
 
Naona siku hizi mnaanza kumuhusisha MUNGU kwenye zinaa zenu..

Tangu lini Mungu akawa mkubwa kwa masuala ya boyfriend???
 
kha!!! Sasa sijui unahitaji ushauri gani mana unasema unamuonea huruma kumuacha kwa kuwa alikusomesha lakini pia huna hamu ya kuishi naye, subiri uachwe wewe aolewe huyo mpangaji halafu ndo utajua nini ufanye
 
Yan ni bado hatujafunga ndoa na nilishamtambulisha nyumbani. na kwao wananifahamu lakini mwenzangu mara nyng halali nyumbani, nikimuuliza anasema kama ninataka na mimi nikalale ninakotaka....
.....halafu bado unaomba ushauri...hebu kalale unakotaka wewee..
 
Mshukuru tu msaada aliokupa then mbwage.
Kwanza toka umefumania ameshakuomba hata msamaa au kubembeleza?
Inaonyesha ''he is not that into you''
We move on bwana
 
Back
Top Bottom