jamani kwanini inatutokea sisi tuuu???

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
bhana ee kama hujui kusoma hata picha angalia alafu unipe sababu za haya kutupata sisi jinsia ya kiume
 
Watoto warudishwe ada wakati huna hata kumi. Mama mkwe anakuja kuwasalimia wakati umeshapewa notisi ya kuhama nyumba na mwenyenyumba, umepata msiba ukweni na mkeo anataka muende na huna hata mia. Waacheni jamani Married men
 
koz nyie ndio mnasupply( mnatoa watu wanapokea)
 
Watoto warudishwe ada wakati huna hata kumi. Mama mkwe anakuja kuwasalimia wakati umeshapewa notisi ya kuhama nyumba na mwenyenyumba, umepata msiba ukweni na mkeo anataka muende na huna hata mia. Waacheni jamni Married men
kwani ukiona ndio kila kitu inakua jamani mweh! mambo kisaidiana jaman kama mke hataki kujishugulisha waoa wa nn jamani kukujazia njoo tu.....oa mtu ambaye siku ukiwa huna anakusitiri yani mnasitiriana jamani lol!....kuna watu ukiona ndio umeona ukoo mzima na matatizo yao yote kha! haki ya mama lazima ukonde na kufilisika kabsaaaaaaa
 
Watoto warudishwe ada wakati huna hata kumi. Mama mkwe anakuja kuwasalimia wakati umeshapewa notisi ya kuhama nyumba na mwenyenyumba, umepata msiba ukweni na mkeo anataka muende na huna hata mia. Waacheni jamani Married men

Salute
 
Maisha ni kujipanga..wapo ambao hawajaoa wanaonakana kama huyo jogoo aliyeoa, na wengi waliooa kuonekana kama huyo jogoo single.
Mi sijaona mantiki yoyote hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…