Nimepata kupitia mabank kadhaa wanaotoa mikopo kwa NMB nadhani ni 20 CRDB asilimia 18 ila nimepita POSTA BANK nimekuta ni asilimia 15.
Japo sio ndogo sana ila nimeona niwajulishe penye angalau.
nimefuatilia fanya na wewe researchunajua hiyo 15 parcent ni ya principal.. na unakatwa kila mwezi kwa miaka minne...
nimefanya kote kwa same amount ndio maana nimesemaUsichokijua ni kwamba hiyo 20/ ,18/ ni reducing balance wakati huyo ya TPB 15 ni flat na ni wizi mtupu
Usikurupuke kidanganywa na udogo wa number.... Kujua urahisi unatakiwa kufanya hesabu kiasi utacholipa hadi kumaliza ndio utajua nani ni nafuu
mi nilienda kwa mkopo maana nmb ilikua 17 wakati nakopa 3 yrs ago nikakuta ni 20 crdp nikakuta hiyo 18 nikacompare same amount intrest yake posta ina uafadhaliVipi wapoje kwenye fixed account wanatoa faida nzuri ikilinganishwa na mabenki mengine?
Nimepata kupitia mabank kadhaa wanaotoa mikopo kwa NMB nadhani ni 20 CRDB asilimia 18 ila nimepita POSTA BANK nimekuta ni asilimia 15.
Japo sio ndogo sana ila nimeona niwajulishe penye angalau.
Vipi wapoje kwenye fixed account wanatoa faida nzuri ikilinganishwa na mabenki mengine?
man nasema kwa uhakika na najua kila ulisemalo nimekua loan officer barclays 3 yrs kabla ya majukumu yangu ya sasa so nasema nachokijuanakuhsahuri rudi tena na uulize vizuri RIBA tu haitoshi, kuna kitu kinaitwa DESCENDING RIBA na FLAT RIBA,
NMB wao ni DESCENDING na hao wengine ni FLAT!
Labda nikunongoneze tu kuwa hakuna anaye weza kutoa mikopo ya riba ndogo kumfikia NMB.
Kafanye biashara za bonds au/na bills za serikali achana na fixed depositsVipi wapoje kwenye fixed account wanatoa faida nzuri ikilinganishwa na mabenki mengine?