Jamani kwa wataalam wa browser, naomba msaada wenu

canular

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
858
812
Jaman habari za mida, kwa wale wataalam wanao jua mambo ya browse naomba kujua ivi nikweli au inawezekana mtu akafanya mambo yake mtandaoni paspo kua na bando? Nakama inawezekana unaunganishaje ili uwe unatumia free internet?

Jamani nimeuliza hivi coz nipo kwenye group la raia wa ghana ndio nimekutako hiyo topic ila utaalam huo wamefanya ni kwa raia wanaopatkana ghana tu sasa namie nikaona niulize wataalam wa Tz kama hiyo inawezekana tusaidiane jaman
 
Mkuu jifunze kuhusu Virtual Private Network (VPN)
I can't disclose vitu vingine hapa
 
Back
Top Bottom