Jamani Kwa Mtu Ajuaye Maeneo Haya,naomba Msaada.

Jamani Kwa Mtu Ajuaye Maeneo Haya,naomba Msaada.

Geneous3009

Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
31
Reaction score
0
Waheshimiwa wanajf.Habari zenu,naomba kusaidiwa kwa yeyote ajuaye;
1.Ofisi za TAMWA-Mwanza.
2.Ofisi za TAMWA-Musoma.

Basi aweke kwa kirefu mahali zilipo,si lazima ujue zote,ukiwa unafaham za Mwanza nielekeze ama za Musoma.

Nitashukuru Sana Kwa Msaada Huo.
 
Back
Top Bottom