L Lofefm Senior Member Joined May 22, 2011 Posts 126 Reaction score 81 Jul 28, 2011 #1 Kila nikijaribu kuweka table kwenye wapsite yangu nakuta haijai screen nzima hata kama width ikiwa 100%. Je ni code zipi za kutumia hapo?
Kila nikijaribu kuweka table kwenye wapsite yangu nakuta haijai screen nzima hata kama width ikiwa 100%. Je ni code zipi za kutumia hapo?
MkimbizwaMbio JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 867 Reaction score 331 Jul 28, 2011 #2 Lofefm said: Kila nikijaribu kuweka table kwenye wapsite yangu nakuta haijai screen nzima hata kama width ikiwa 100%. Je ni code zipi za kutumia hapo? Click to expand... Inategemea na Contents za Cells, Haiwezi kujaa kama ipo tupu.
Lofefm said: Kila nikijaribu kuweka table kwenye wapsite yangu nakuta haijai screen nzima hata kama width ikiwa 100%. Je ni code zipi za kutumia hapo? Click to expand... Inategemea na Contents za Cells, Haiwezi kujaa kama ipo tupu.
Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,445 Jul 28, 2011 #3 Lofefm said: Kila nikijaribu kuweka table kwenye wapsite yangu nakuta haijai screen nzima hata kama width ikiwa 100%. Je ni code zipi za kutumia hapo? Click to expand... Onyesha wewe code unazotumia na zinakataa ili wataalam wajaribu. La sivyo itabidi utumike utabiri. So kwa utumia utabiri nadhani hayo ni mambo ya CSS. Angalia CSS inayocontroll hiyo table ya wapsiteyako jaribu ku gooogle CSS property ya position kwa kuanzi nenda W3schools.com. specifically cheki hii CSS position property so inaweza kuwa mtiritiko kama huu. PHP: table {position : relative ; left:0px ; right :0px ; } kwa hiyo kifupi unachotakiwa ni kuchezza nacho ni CSS positin property ya table. Sasa sijui hiyo wapsite inatumia CSS za aina gani.
Lofefm said: Kila nikijaribu kuweka table kwenye wapsite yangu nakuta haijai screen nzima hata kama width ikiwa 100%. Je ni code zipi za kutumia hapo? Click to expand... Onyesha wewe code unazotumia na zinakataa ili wataalam wajaribu. La sivyo itabidi utumike utabiri. So kwa utumia utabiri nadhani hayo ni mambo ya CSS. Angalia CSS inayocontroll hiyo table ya wapsiteyako jaribu ku gooogle CSS property ya position kwa kuanzi nenda W3schools.com. specifically cheki hii CSS position property so inaweza kuwa mtiritiko kama huu. PHP: table {position : relative ; left:0px ; right :0px ; } kwa hiyo kifupi unachotakiwa ni kuchezza nacho ni CSS positin property ya table. Sasa sijui hiyo wapsite inatumia CSS za aina gani.
L Lofefm Senior Member Joined May 22, 2011 Posts 126 Reaction score 81 Jul 28, 2011 Thread starter #4 Code niliyotumia ni [TABLE="width: 100%"] [TR] [TD]my content goes here[/TD] [/TR] [/TABLE]
Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,445 Jul 28, 2011 #5 Lofefm said: Code niliyotumia ni my content goes here Click to expand... Duh sasa kwenye hii code yako width uliyosema 100% ipo wapi ?
Lofefm said: Code niliyotumia ni my content goes here Click to expand... Duh sasa kwenye hii code yako width uliyosema 100% ipo wapi ?
L Lofefm Senior Member Joined May 22, 2011 Posts 126 Reaction score 81 Jul 28, 2011 Thread starter #6 Mtazamaji said: Duh sasa kwenye hii code yako width uliyosema 100% ipo wapi ? Click to expand... <br /> <br /> nashangaa nikiweka code hii page ya jf haioneshi hizo html codes
Mtazamaji said: Duh sasa kwenye hii code yako width uliyosema 100% ipo wapi ? Click to expand... <br /> <br /> nashangaa nikiweka code hii page ya jf haioneshi hizo html codes
Zing JF-Expert Member Joined Jun 24, 2009 Posts 1,767 Reaction score 470 Jul 28, 2011 #7 ukiwa unaandika ziweke code ndani ya ki icon kimeandikwa PHP. Kwenye hiyo window ya kuandika comment angalia chini ya sehemu unapochagua font na s colur ya ujumbe . utaona B I U nenda mstari huo huo mwisho mwisho kulia utaona php.. Ziweke hizo code ndani ya hiyo PHP. hope umeelewa. Au vizuri zaidi unaweza kuziweka ndani ya <> ambayo ndio nyenzo hasa ya kuziweka code za html hapa
ukiwa unaandika ziweke code ndani ya ki icon kimeandikwa PHP. Kwenye hiyo window ya kuandika comment angalia chini ya sehemu unapochagua font na s colur ya ujumbe . utaona B I U nenda mstari huo huo mwisho mwisho kulia utaona php.. Ziweke hizo code ndani ya hiyo PHP. hope umeelewa. Au vizuri zaidi unaweza kuziweka ndani ya <> ambayo ndio nyenzo hasa ya kuziweka code za html hapa
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,229 Reaction score 44,239 Jul 28, 2011 #8 mnhh umesema wapsite?? Hebu ntajie hosting wako maana hawa wen.ru xtgem na local hosting wengine si code zote zinaonekana fresh
mnhh umesema wapsite?? Hebu ntajie hosting wako maana hawa wen.ru xtgem na local hosting wengine si code zote zinaonekana fresh
Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,907 Reaction score 1,081 Jul 29, 2011 #9 HTML nafahamu pia CSS lakini swali sijalielewa vizuri nashindwa kujibu