Kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mweusi ni raha sana!!

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,047
Nilikuwaga sielewi kwanini hawa wanawake weusi aka blacks wanasifiwa sana?. Jaman hii type ni raha sana kudate nayo unakuwa huna stress kwanza hawana vizinga vya kizembe zembe, wanaridhika hata wakipewa kitu kidogo, yani wanajua kupenda na wengi wana true love.

Sijamaliza bado, wanawake weusi wanajua nini maana ya mapenzi, wanajua kukaa na mwanaume halafu pia wanajituma sana akija ghetto anafanya kila kitu hadi kubrash viatu.

Ukija kwenye kule kwa 6x6 sio wachoyo kukupa na wanajua balaa ni mafundi na hawana maringo kabisa.

Shida ya hizi rangi nyeupe ni kwamba zina maringo sana na wanavizinga sana unakuta dada kaupele kadogo kameota anataka dawa halafu utasikia 50k dawa ya uson wtf?? Hawa mademu weupe wana vizinga sana halafu wengi ni malaya sana.

Nasema haya coz me nilikuwa mhanga sana wa hizi type nyeupe ila toka nianze kula hizi nyeusi mmeona utofauti mkubwa sana mpaka nimeanza kuwaelewa mablacks yani hawana complications.

Popote mlipo nyie wanawake weusi agizeni mirinda nyeusi nitalipia.
 
Unajicomfort tu ww hamna kitu hapo inaonekana moyo wako uko kwa wanawake waupe halafu unadate na demu mwenye sura kama avatar ya Zero IQ ooh sorry kama msenego alietufunga goli la pili... unatafta njia ya kucope na mwonekano wake...

Kama umeamua kumpenda we mpende tu na weusi wake hvyohvyo usiwape sifa zisizo na uhusiano wa rangi zao awe mweupe au mweusi uzuri wa sura na tabia hautegemei rangi ya ngozi...
 
Sisi wanaume tunashauriana bila kujua kama tunatoa shauri. Walijishauri kua madem weupe ndo wana sifa zote tukahamia kuwasifia na wakajiona hadi wakapitiliza . Sasa tunajishauri madem weusi wana sifa kama hizo tutahamia kuwasifia nao watajiona hadi wapitilize tuone ni kero zaid, mwishoni tutaanza kuwasifia madem wazee na tutahamia humo wote hadi yule msela anaejiita 0
 
Back
Top Bottom