Jamani kuna watu wachokozi..

MasterP.

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
8,053
6,388
Hao hapo..
image.jpeg
 
Hao ndio wale tulioambiwa ni Waandishi walioenda kuweka Kambi huko au?
 
Sasa kama kijijini kwao kuna kituo cha elimu ya watu wazima na yeye alifeli darasa la NNE, la saba na form IV, kwa nini asianze upya shule kwa mtindo wa MEMKWA (Mpango wa elimu maalum kwa walioikosa) ili aepukane na kadhia hii ya vyeti?
 
Kolomije inabidi sasa wamshukuru Mh. Makonda as tuhuma za uongo anazopewa zimewaweka kwenye ramani.


Kitu hakijawahi kutokea kwa kiongozi mpiga kazi nchini.

Na hata wabadili majina ya sehemu au majengo wayaite Paul Makonda


Wasisahau kitengeneza pesa za wageni wanaotembelea huko, wajiweke kama vile 5th Av ya kuleeeee


Makonda oyeeee
 
Back
Top Bottom