Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 724
Wataalam naomba mnisaidie tiba kwa wife wangu ana ujauzito wa miezi mitatu lkn anatema mate kila karibu kila dakika tano hivi hakuna dawa ya kuzuia au kupunguza hali hii maana namwonea huruma anvyoangaika hata wakati wa maongezi,hii ni mimba ya pili ya kwanza hakuwa hivi.