white wizard JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 8,618 Reaction score 13,890 Jun 3, 2011 #1 kwanini lakini huu mtandao wa tigo,hususani 3G,inashika vizuri ktk ya jiji tu,yaani hata tv stations,kama aljazeera,press tv,na france 24,unatazama kupitia kwenye simu,clear kama mkanda.mbona hivyo jamaani!na sisi tunataka utamu huo.
kwanini lakini huu mtandao wa tigo,hususani 3G,inashika vizuri ktk ya jiji tu,yaani hata tv stations,kama aljazeera,press tv,na france 24,unatazama kupitia kwenye simu,clear kama mkanda.mbona hivyo jamaani!na sisi tunataka utamu huo.