jonii jonii
Member
- Jul 10, 2016
- 70
- 39
Nilimuamini sanaa huyu kuku nikijipa moyo kwamba hii ni mbegu bora kama nikiifuga tangu 2015 mnamo 2020 nitakua na vifaranga wengi lakin amenshangaza ndo kwanza mwaka mmoja amenza kula mayai eti hataki kuatamia yaan amesahau kabisa tabu zote nilizo zipata ktk kumtoa kijijin kwao na kumleta mjin atagie kwenye banda zuri na lenye taa ya umeme tabu nilizo zipata kumtengenezea kiota leo ananidona haaa sawa mjanja yeye ila 2020 lazima nimchinje na kufuga mwingine nimechokaa.
