Neema William
Senior Member
- Jan 3, 2012
- 171
- 76
jimbo gani lipo wazi huko enji? si nasikia hamad karuhusiwa kuhudhuria vikao?
liliachwa marehem silima aliyefariki ktk ajaliJimbo la Uzini Mkuu
sijawahi kusikia jina la uzini, ok. CDM wajipange tukachukue jimbo zenji.Jimbo la Uzini Mkuu
jimbo gani lipo wazi huko enji? si nasikia hamad karuhusiwa kuhudhuria vikao?
sijawahi kusikia jina la uzini, ok. CDM wajipange tukachukue jimbo zenji.
kazi badoo kubwa ndugu zangu wa chadema, kamati kuu inayokaa kesho jijini Dar tungependa iwatoe kina mnyika wa pili, zito wa pili, wenje wa pili, hakuna kulala, si mnajua siasa za Zanzibar? One Mistakes One Golllll, Kwani Cuf bado wana hasira na ninyi mlivyowagalagala Igunga, ombi kwa kamati kuuu Beeeee Carefull
I love Tanganyika.