Jamii forum is in TRANSITION PERIOD. THERE IS A CONTRARY BETWEEN RESPONSIBILITY AND VOLUNTEERING THIS IS HIS RESPONSIBILITY AND HE CANT DESERVED THAT CONGRATS.
"WHEN I DO GOOD I FEEL GOOD AND WHEN I DO BAD IFEEL BAD AND THAT IS MY RELIGION" ABRAHAM LINCOLN.
Mkuu unaendelea kujichanganya hapa tunajadili siasa; kazi unafanya mpaka ushindwe kujihusiha na siasa? Siku mapadri; mashekhe wote tunao kwenye siasa; mkuu njaa yako sema nayo
Chama
Gongo la mboto DSM
Hakika huu ni mfano mfu, yaani unadhani uchungu wa JK kwa wale waliokufa kwenye mlipuko wa bomu ni sawa na angefiwa na Riz1? Angekufa Riz1 hiyo ndege ingepiga riverse angani..! Utakuwa umesahau kuwa ''Damu ni nzito kuliko Maji''
Tatizo lako chuki zinakusumbuwa inawezekana juu ya chama chake au dini yake au vyote viwili ila tumia akili sio kila kitu kupinga tu kama viongozi wako wa chama chako
Hebu nionyeshe mwenye akili timamu kati yenu; nyote nyie ni waganga njaa. Mnaifanya server kujaa kwa kuandika pumba zenu;kama kazi haziwaruhusu kujiingiza kwenye siasa mnatafuta nini JF? Sio ndio maana nasema nyie niwanafiki waganga njaa; nyie tekelezeni majukumu yenu haya ya siasa hayawahusu.chama mbona unakuwa na matatizo ya kufikiri jamani?ivi kwa nini unabadili mwelekeo wa mada?unapenda uchamb,uccm uchadema!utakupeleka wapi?ebu angalia michango ya watu timamu ujifunze ndugu...kuhusu kujihusisha na siasa sipingi ila kwa nini unamlazimisha lokisa akubali mawazo yako,eti mapadre,padre yupi anajihusisha na siasa?apa uctaje akina dr slaa kwa kuwa hawa upadre ulikoma zamani. Nasema ivi kwa kuwa kiukweli tupo wengi tusioruhusiwa kufanya siasa kutokana na kazi zetu ila tuna uhuru wa maoni. Gsana.
Kilichonifuraisha kwenye mada hii ni kuwa wachangiaji wanabishana kwa hoja si matusi. Tofauti na id moja tu ya Isalia, waliobaki hongereni kwa michango mizuri kuanzia mleta mada. Hata kama hoja haikupendezi,kutukana si njia sahihi. Hongereni.
Ndg wanajamvi,
Kama ulivyo usemi wa wahenga wetu kuwa "mnyonge mnyongeni lakini haki take mpeni" Nijuzi baada ya mlipuko wa bomu kanisani huko Arusha, Rais Kikwete alikuwa ziarani nje ya nchi kama kawaida yake ya kutotulia nchini kwake lakini baada ya kutaarifiwa janga hilo la bomu, aliamua kukatisha ziara yake na kuacha malengo yake yote ya ziara hiyo na kurudi nyumbani kushirikiana na wananchi wake katika mkasa huo.
Kweli huo ni uzalendo na ninashauri vyombo vya habari viliweke wazi jambo hilo kwa watanzania kama vilivyokuwa vinaweka wazi pale marais waliomtangulia JK walipokuwa wanaendelea na mambo yao nje ya nchi wakati watanzania wanumia bila msaada. Mfano wakati wa mgomo wa madaktari muhimbili na wakati huo Raisi yuko majuu miaka ileeeeee!!!!
he doesnt deserve the(any) congrats......
Endelea kuamini kuwa aliahirisha ziara yake huko Kuwait, sisi tulioenda naye huko tunajua alimaliza visit yake ndo akageuzaHata kama ni mfano mfu, mfufuka au hai, ujumbe umekufikia ndio maana umeweza kuandika hayo uliyoandika. Kwa kuwa Rais alirudi kabla ya muda wa kurudi, ni hakika kuwa alishtushwa na kusikitishwa na yale yaliyotokea. Kama una chuki binafisi na yeye ni wewe, sio lazima maono yako yawe yangu.
Tatizo lako chuki zinakusumbuwa inawezekana juu ya chama chake au dini yake au vyote viwili ila tumia akili sio kila kitu kupinga tu kama viongozi wako wa chama chako
Ndg wanajamvi,
Kama ulivyo usemi wa wahenga wetu kuwa "mnyonge mnyongeni lakini haki take mpeni" Nijuzi baada ya mlipuko wa bomu kanisani huko Arusha, Rais Kikwete alikuwa ziarani nje ya nchi kama kawaida yake ya kutotulia nchini kwake lakini baada ya kutaarifiwa janga hilo la bomu, aliamua kukatisha ziara yake na kuacha malengo yake yote ya ziara hiyo na kurudi nyumbani kushirikiana na wananchi wake katika mkasa huo.
Kweli huo ni uzalendo na ninashauri vyombo vya habari viliweke wazi jambo hilo kwa watanzania kama vilivyokuwa vinaweka wazi pale marais waliomtangulia JK walipokuwa wanaendelea na mambo yao nje ya nchi wakati watanzania wanumia bila msaada. Mfano wakati wa mgomo wa madaktari muhimbili na wakati huo Raisi yuko majuu miaka ileeeeee!!!!
Ndg wanajamvi,
................... "mnyonge mnyongeni lakini haki take mpeni" .................
Hata kama ni mfano mfu, mfufuka au hai, ujumbe umekufikia ndio maana umeweza kuandika hayo uliyoandika. Kwa kuwa Rais alirudi kabla ya muda wa kurudi, ni hakika kuwa alishtushwa na kusikitishwa na yale yaliyotokea. Kama una chuki binafisi na yeye ni wewe, sio lazima maono yako yawe yangu.
Tukio linatokea yeye alikuwa anajiandaa kuondoka!alipofika anamaliza ziara ya siku 2 akasema amekatisha ziara!akarudi kuzuga faster akatimkia zake SA!