Tatizo lako chuki zinakusumbuwa inawezekana juu ya chama chake au dini yake au vyote viwili ila tumia akili sio kila kitu kupinga tu kama viongozi wako wa chama chako
Wana jamvi naomba tuwe watu wa kufikiri,
hivi ni nani kati yenu ambaye mtoto wake akiwa mla unga wa mda mrefu na baadae akaamua kucha asimpongeze?
Je mtoto akiwa mwizi na akaamua kuacha humpongezi?
Marais wa nchi hii hawakuwahi kufanya tendo alofanya JK la kurudi home kabla ya kukamilisha ratiba yake Kuwait, hata kama aliwahi lisaa limoja tu, bado ni element ya utafauti na watangulizi wake (isipokuwa Mwalimu) na kuonyesha mabadiriko kidogo.
Naomba nitambulike wazi kuwa mie sio muumini wa JK na wala hakuipata kura yangu na wala siutarajii u DC!!!
Wacha urongo,
JK alikuwa na ziara ya siku 2 kuanzia jumapili hadi jumatatu. JK aliondoka nchini jumapili asubuhi, na huku nyuma bomu likalipuka. Ina maana wakati JK anatua Kuwait, Jumapili mchana alikuwa na taarifa. JK aliendelea na ziara yake hadi Jumatatu mchana ndipo akarudi. Kumbuka masaa ya Kuwait yapo sambamba na ya bongo... angekuwa anajali saana angegeuza ile ile jumapili...
Mkuu! Sema unatafuta kujua hisia za waTanzania katika hili. Hivi unakubaliana na wanao sema aliahirisha ziara yake? Ki diplomasia/ protokali nini maana ya ziara ya siku mbili nje ya nchi? Hata kama ulifika nchi ile saa moja jioni, ile ni siku ya kwanza. Na unaye mpongeza alitumia MA-USIKU MAWILI (2 NIGHTS) ambazo tayari ni siku mbili hata angeondoka asubuhi ya saa kumi na mbili. Ili mradi alihitaji kupewa huduma zote za kiitifaki na kidiplomasia. Na kwa taarifa ya ofisi yake, tuali tangaziwa kwamba ni ziara ya siku mbili. Hivyo huko mnaoita kuahirisha kunatoka wapi? Au ndio ule muendelezo kwamba "NYUMBA YA MUONGO HAIISHI VITUKO?"[/QU Upo sahihi sana mkuu in short hakuarisha bali alimaliza ziara kama inavyotakiwa... Bongo bana jambo liko wazi sema basi tuu siasa kila sehemu
Huwa nawashangaa sana wanaume wengine na huwa najiuliza hivi wakifunga zipu wanafungia nini humo ndani
Mie hata kwa bunduki siwezi kumpongeza maana yapo mengi yaliyotokea na hakufanya lolote na mengine yametokea akiwa njiani kuelekea airport wala hakuahirisha.alikatisha dinner, huo ndio uzalendo unaotaka tumpongeze nao?
bado una akili za panzi.
ziara ya JK ilikuwa ya siku 2 kuanzia tarehe 5 hadi 6, alirudi tarehe 6, sasa alikatiza wapi zaidi ya dinner?
Asante tuko, tushaanza kilazimishwa kusifia mtu hapa,Wacha urongo,
JK alikuwa na ziara ya siku 2 kuanzia jumapili hadi jumatatu. JK aliondoka nchini jumapili asubuhi, na huku nyuma bomu likalipuka. Ina maana wakati JK anatua Kuwait, Jumapili mchana alikuwa na taarifa. JK aliendelea na ziara yake hadi Jumatatu mchana ndipo akarudi. Kumbuka masaa ya Kuwait yapo sambamba na ya bongo... angekuwa anajali saana angegeuza ile ile jumapili...
Ndg wanajamvi,
Kama ulivyo usemi wa wahenga wetu kuwa "mnyonge mnyongeni lakini haki take mpeni" Nijuzi baada ya mlipuko wa bomu kanisani huko Arusha, Rais Kikwete alikuwa ziarani nje ya nchi kama kawaida yake ya kutotulia nchini kwake lakini baada ya kutaarifiwa janga hilo la bomu, aliamua kukatisha ziara yake na kuacha malengo yake yote ya ziara hiyo na kurudi nyumbani kushirikiana na wananchi wake katika mkasa huo.
Kweli huo ni uzalendo na ninashauri vyombo vya habari viliweke wazi jambo hilo kwa watanzania kama vilivyokuwa vinaweka wazi pale marais waliomtangulia JK walipokuwa wanaendelea na mambo yao nje ya nchi wakati watanzania wanumia bila msaada. Mfano wakati wa mgomo wa madaktari muhimbili na wakati huo Raisi yuko majuu miaka ileeeeee!!!!
Omba mkeo akathibitishe aje kukupa za kiitelijensia nini kimefungiwa!

Nyie waganga njaa hamkosi cha kusema; kwani tatizo lilikuwa wapi? Serikali yote ilikuwepo Arusha na wote walitekeleza majukumu yao chini ya maelekezo ya Raisi mlitaka ajigeuze upepo?alikatisha dinner, huo ndio uzalendo unaotaka tumpongeze nao?
bado una akili za panzi.
ziara ya JK ilikuwa ya siku 2 kuanzia tarehe 5 hadi 6, alirudi tarehe 6, sasa alikatiza wapi zaidi ya dinner?
Afadhali mtoto wa kiume leo umelielewa hiloSi kila anayevaa suruwali ni Mwanaume, na kuna tofauti kubwa kati ya Mwanamume na mtoto wa Kiume.