Jamani, Juma Mgaza ndo nani?

Jamani, Juma Mgaza ndo nani?

Buta

Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
34
Reaction score
6
ndugu Wananchi;
Kwa niaba yangu na kwa niaba ya Serikali natoa
mkono wa pole kwa Dkt. Steven Ulimboka na
kumuombea apone haraka ili aungane na familia
yake na Watanzania wenzake katika ujenzi wa
taifa. Kwa namna ya pekee namshukuru na
kumpongeza Bwana Juma Mgaza, kwa moyo
wake wa huruma na upendo na kwa hatua
alizochukua za kumsaidia Dkt. Ulimboka.
Naomba kumaliza kwa kuwasihi madaktari
kuacha mgomo na kurejea kazini. Watanzania
 
Muislam aliyemuokota na kumsaidia dr. Ulimboka
 
Muislam aliyemuokota na kumsaidia dr. Ulimboka

fikira fupi, mawazo mafupi? hujielewi na hujui kuwa hujielewi ..lakini ni ujinga tu ipo siku utakutoka..yaani kusema ni mwislamu ndo uislam utaonekana safi? au kwa hilo litaonesha wakristo ovyo? vipi kama angekuja mtu hapa akasema (mf: nyerere ndiye aliyeruka UN kuomba uhuru alikuwa ni Mkrito!..ungemhisje huyo mtu? pima akili yako...AFRIKA YOTE NA WATANZANIA NI NDUGU BILA KUJALI UISLAMU AMA UKRISTO
 
ndugu Wananchi;
Kwa niaba yangu na kwa niaba ya Serikali natoa
mkono wa pole kwa Dkt. Steven Ulimboka na
kumuombea apone haraka ili aungane na familia
yake na Watanzania wenzake katika ujenzi wa
taifa. Kwa namna ya pekee namshukuru na
kumpongeza Bwana Juma Mgaza, kwa moyo
wake wa huruma na upendo na kwa hatua
alizochukua za kumsaidia Dkt. Ulimboka.
Naomba kumaliza kwa kuwasihi madaktari
kuacha mgomo na kurejea kazini. Watanzania

wewe nawe cjakuelewa ni sawa tu na huyo aliyeingiza udini kwenye hii thread yako! kichwa cha habari akiendani na content uliyoandika hapa! pili wewe ni nani utoe mkono wa pole kwa niaba ya serikali...sema uombe radhi kwa niaba ya serikali kama upo huko serikalini na unajua kinachoendelea! mimi hata niuwawe leo siwezi kukubali kuwa Dr Ulimboka akupigwa na Serikali yenyewe, huu mchezo c tofauti na wakumficha Balali kisha wakasema amekufa! juzi juzi Mtu flani alipotaka kutoa siri za kumwona huko marekani kauwawa mbele ya nyumba yake na majambazi..(intelejensia imelala mpaka sasa hakuna taarifa nani mhusika)_Dirty Government nani ataiamini?
 
Sasa mtoa mada mbona unajichanganya! Sasa unataka nini
 
Back
Top Bottom