Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,948
- 13,378
Nikawaacha wamalize haja zao na mie nina mpango wa kulipiza,je nitakosea nikifanya hivyo?Ikawaje sasa?
Ni siriasi huyu jirani kanichanganya kwa kweli nina mpango wa kulipa kisasiimeanza km seriouz imemalizika km jokes.
nashindwa kusema neno
imeanza km seriouz imemalizika km jokes.
nashindwa kusema neno
Nikawaacha wamalize haja zao na mie nina mpango wa kulipiza,je nitakosea nikifanya hivyo?
autakosea.
tena wewe fanya mchana kweupeeeeeeeeeeee ..siku ya jumapili saa 7 mchana ..jipange wewe mbele ,afate mkeo then haus gal afu watoto kwa ile style ya bata mnajipanga shwaaaaaaaaaaaa km bata wapo kwenye msafara ,,,......fanyen mambo yenu then haooooooooo wakiwauliza waambie we r just replyng da msg.
karibu ugali mlenda,kasamak kakukaanga...!!!!!
Ha ha haa...
Umenikumbusha stor ya jamaa aliyeahidiwa kupewa baiskeli kama akithubutu kun*ya sokoni mbele za watu.
Kwa ujasiri wa ajabu, jamaa alitekeleza zoezi, akajichukulia baskeli.
Nikawaacha wamalize haja zao na mie nina mpango wa kulipiza,je nitakosea nikifanya hivyo?
imeanza km seriouz imemalizika km jokes.
nashindwa kusema neno
Nikawaacha wamalize haja zao na mie nina mpango wa kulipiza,je nitakosea nikifanya hivyo?
Dada Rose1980, bora hii yako kali. Nimecheka sina mbavu. Like it!autakosea.
tena wewe fanya mchana kweupeeeeeeeeeeee ..siku ya jumapili saa 7 mchana ..jipange wewe mbele ,afate mkeo then haus gal afu watoto kwa ile style ya bata mnajipanga shwaaaaaaaaaaaa km bata wapo kwenye msafara ,,,......fanyen mambo yenu then haooooooooo wakiwauliza waambie we r just replyng da msg.
karibu ugali mlenda,kasamak kakukaanga...!!!!!
Sawa nitafanya hivyoKwanza inabidi ukaripot kisa hicho polisi, baada ya hapo inabidi majirani zako wakapimwe akili.