Sometimes kinamama huniacha hoi akiwa binti kuliona ziwa (titi) marufuku lakini ngoja ajifungue....Hata stendi haoni tabu kulitoa huku likikodolewa macho na kila mmoja.
Sometimes kinamama huniacha hoi akiwa binti kuliona ziwa (titi) marufuku lakini ngoja ajifungue....Hata stendi haoni tabu kulitoa huku likikodolewa macho na kila mmoja.
ama kwa hakika hili ni balaaa lililosababishwa na usingizi plus plus kwa wote wawili lol!Balaaa
La msichana ni titi na mama ni ziwa wacha lionekane kwani sasa ni chakula.
Mimi nilivyomuelewa mtoa mada,kuwa inaweza kuleta matatizo kwasababu ziwa limefunika pua ya mtoto anaweza kukosa pumzi kitu ambacho ni hatari kwa mtoto
Huyu aliyepiga lazima yupo kwenye basi halafu kila akiambiwa rudi nyuma hataki.Hii picha inavyoonekana (kwangu mimi) haikupigwa kwa ridhaa ya huyo mama. Hata hivyo, Hongera mama kwa kumpa mtoto haki yake.
Hahaaa...Mbona la Msichana nawe unalila kama sio chakula?