Jamani jamani msaada wa haraka kwa matokeo haya!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani jamani msaada wa haraka kwa matokeo haya!.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Gambaz, Feb 10, 2012.

 1. G

  Gambaz Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mdogo wangu wa kike amepata Div IV.31 yan mchanganuo ni kama ufuatavyo: Civ-D,Hist-F,Geo-F,Kisw-D,Engl-D,Lit-D,Bio-F and B/math-F. Jamani nisaidieni anaweza fanya nini kwa matokeo hayo?.
   
 2. m

  mfukoz Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ushauri aende palanye UBUNGO PLAZA kuna chuo kinaitwa MUST COLLEGE kinato Spatial Technology na kimesajiliwa na VETA.Kuna mdogo wangu alipata matokeo kama hayo amejiunga pale na anamaliza mwezi wa 8 na akifanya vizuri anaendelea na Diploma katika vyuo ambavyo viko chini ya NACTE kama Ardhi Morogoro ama Tabora.
   
 3. G

  Gambaz Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana mkuu,.
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mpeleke magogoni akasomee useketari..
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Huyo india patamfaa.
   
 6. G

  Gambaz Member

  #6
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  senetor,india tena?. Fafanua kidogo mkuu
   
Loading...