jamani,jamani,jamani kulikoni national audit | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani,jamani,jamani kulikoni national audit

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kintunu, Aug 4, 2011.

 1. k

  kintunu Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kama kuna mdau anajua habari yoyote kuhusu usaili tuliofanya wa national audit matokeo nyake wanatoa lini?
   
 2. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 348
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  vumilia kijana wiki lijalo jiandae kuona matokeo
   
 3. Z

  Ze Maza Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Nov 14, 2009
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  is it true..........tunasubiria wengi
   
 4. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  mbona mna mchecheto sana ninyi vijana. yaani hata mwezi haujaisha mmeshaanza kupiga kelele. wapeni muda maana mlikuwa watu elfu 4. wamalize kusahihisha na kusoma vimemo, siyo kazi ya siku moja jamani!
   
Loading...