Jamani! Jamani! Jamani! Blue3 ni noma

Jamani! Jamani! Jamani! Blue3 ni noma

chloe.obrain

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2010
Posts
391
Reaction score
21
mavazi mengine ni soo jamani lol!!!:doh:
sijui ndo kupunga upepo, au biashara ni matangazo?????

blue 3.jpg
 
Blu3???? no way, sura ni ya Amani, hicho kiwiliwili ndo cha blue3 labda
 
Blu3???? no way, sura ni ya Amani, hicho kiwiliwili ndo cha blue3 labda

Hivo eeeee hebu ngoja nimcheki fresh, ila dah hata kama ndo huyo Peace aisee hicho kivazi ni noooma!!!!
 
mmmh .................ila joto limekuwa kali na yeye labda 😀
 
Original ya hii picha niliwahi kuiona mahali, lemme look for it. Si Blu3 wala Amani!
 
Huyu mdada akitoa mchucho hapo; lazima shoti itokee hapo kwenye hizo nyayanyaya!😛eep:
 
Back
Top Bottom