Jamani jamani hebu oneni hivi vitu tunavyoletewa bongo

Jamani jamani hebu oneni hivi vitu tunavyoletewa bongo

madumu

Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
11
Reaction score
4
Naomba msaada wa jinsi ya ku un-lock printer hiyo (EPSON STYLUS 1410) inapojifunga (lock) maana hizi printer huwa zinajifunga baada ya kutoa copy kiasi fulani cha karatasi (printing) na kila moja huwa na idadi yake tofauti. Hii yote ni kwa sababu nimeinunua na muuzaji hajui jinsi ya kuifungua ikijifunga. Pia nasikia tayari program ya ku unlock imeshakuwa released please naombeni msaada wenu kwa anayejua hili tatizo langu.
 
Mdau hizo printer zina cd zake za kuzifungulia ukiipata wala hupati shida una incert tu hiyo cd then itadetect na kuondoa error zote kwenye printer. jaribu kuzitafuta kwa wazee wa kazi hapo Dar wanazo
 
search epson kwenye site yao lazima watakuwa wametoa njia zake za kusolve hilo tatizo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom