Jamani naomba msaada ni vigezo vipi ndio. Vinawezesha kusoma degree??? Mi. Nina principle mbili na s moja.
unatakiwa kuwa na principle mbili tu ktk masomo 3 ya comb,but kwenda chuo inategemea na cut off point mfano dsm,dodoma,duce, ni 5 ila tumaini teofilo kisanji,bagamoyo just 2.5 kazi kwako ku calculate cut off point yakoJamani naomba msaada ni vigezo vipi ndio. Vinawezesha kusoma degree??? Mi. Nina principle mbili na s moja.