zimwimtu JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 1,988 Reaction score 1,097 Nov 5, 2012 #21 hapo ubao ni mfupi na yeye ni mrefu, so anajaribu kukaa vile ili aandike mpaka mwisho wa ubao. ni kwawaida kabisa, kuna wendine huwa wanainama.
hapo ubao ni mfupi na yeye ni mrefu, so anajaribu kukaa vile ili aandike mpaka mwisho wa ubao. ni kwawaida kabisa, kuna wendine huwa wanainama.
Nicole JF-Expert Member Joined Sep 7, 2012 Posts 4,274 Reaction score 2,523 Nov 5, 2012 #22 Hey shost thanx 4ur vote,nimepewa mpenzi usitie shaka,asenti sana 4ur sapoti! nivea said: hi miss chit chat umepewa zile vocha za simu kama zawadi isikute tumetoa mapovu ya kampeni bure kumbe zawadi hewa nijibu nilipue jipu Click to expand...
Hey shost thanx 4ur vote,nimepewa mpenzi usitie shaka,asenti sana 4ur sapoti! nivea said: hi miss chit chat umepewa zile vocha za simu kama zawadi isikute tumetoa mapovu ya kampeni bure kumbe zawadi hewa nijibu nilipue jipu Click to expand...
MAUBIG JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,040 Reaction score 859 Nov 5, 2012 #23 baina said: Walio wahi kufundishwa naomba mtwambie huyu jama anafanya nini, au ndo staili ya kuomba nyongeza ya salary? View attachment 70293 Click to expand... ACHA kUKANDIA FANI ZA WATU, KWANI KUFUNDISHA NA SALARY VINAMAHUSIANO GANI
baina said: Walio wahi kufundishwa naomba mtwambie huyu jama anafanya nini, au ndo staili ya kuomba nyongeza ya salary? View attachment 70293 Click to expand... ACHA kUKANDIA FANI ZA WATU, KWANI KUFUNDISHA NA SALARY VINAMAHUSIANO GANI
B Bayyo JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,819 Reaction score 2,920 Nov 5, 2012 #24 Walimu 2na kazi kweli kweli, unaweza ukawa unachakaa na chaki ubaoni kumbe denti wako unakupiga picha na kamchina kake na mbaya zaidi anatupia mtandaoni.
Walimu 2na kazi kweli kweli, unaweza ukawa unachakaa na chaki ubaoni kumbe denti wako unakupiga picha na kamchina kake na mbaya zaidi anatupia mtandaoni.
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Nov 5, 2012 #25 hiyo inaitwa kibadachi stense.
gobore JF-Expert Member Joined Aug 17, 2009 Posts 715 Reaction score 352 Nov 7, 2012 #26 Mzuka umempanda mwalimu wa watu muacheni ajitume hivyo hivyo na kamshahara kaduchu..
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,268 Nov 7, 2012 #27 Mkusa said: Mandhari kama ya Chuo vile?? Click to expand... UD Seminar Room eti?
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,087 Reaction score 54,310 Nov 7, 2012 #28 Anajituma hivyo halafu hapewi haki yake, + mshahara kiduchu sana.
Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member Joined Dec 6, 2006 Posts 3,019 Reaction score 580 Nov 7, 2012 #29 Patamu hapo. Ushuzi ukija hawezi kubana, lazima bigula litasikika na halafu na kunya kabisa kwenye suruali lake. Kaachia mlango wazi hivyo??
Patamu hapo. Ushuzi ukija hawezi kubana, lazima bigula litasikika na halafu na kunya kabisa kwenye suruali lake. Kaachia mlango wazi hivyo??