Jamani huyu mwalimu anafanya nini?

Jamani huyu mwalimu anafanya nini?

hapo ubao ni mfupi na yeye ni mrefu, so anajaribu kukaa vile ili aandike mpaka mwisho wa ubao. ni kwawaida kabisa, kuna wendine huwa wanainama.
 
Hey shost thanx 4ur vote,nimepewa mpenzi usitie shaka,asenti sana 4ur sapoti!
hi miss chit chat umepewa zile vocha za simu kama zawadi isikute tumetoa mapovu ya kampeni bure kumbe zawadi hewa nijibu nilipue jipu
 
Walimu 2na kazi kweli kweli, unaweza ukawa unachakaa na chaki ubaoni kumbe denti wako unakupiga picha na kamchina kake na mbaya zaidi anatupia mtandaoni.
 
Mzuka umempanda mwalimu wa watu muacheni ajitume hivyo hivyo na kamshahara kaduchu..
 
Patamu hapo. Ushuzi ukija hawezi kubana, lazima bigula litasikika na halafu na kunya kabisa kwenye suruali lake. Kaachia mlango wazi hivyo??
 
Back
Top Bottom