julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Ilikuwa sauti ya mama yake binti asubuhi asubuhi binti anatoka chumbani kwa mpangaji wake, sasa mpangaji anaogopa kurudi geto hajui nini kiliendelea baada ya yeye kuchomoka ahsubuhi! ushauri plz asirudi au afanyeje baba mwenye nyumba akijua ni mkali kiasi cha kuchinja mtu!!!!!!!!!!!!!!
@$&/😉$£℉*%}
@$&/😉$€£℉*%}
Thread haina kichwa wala,miguu
haya ndio madhara ya kubwia ugoro, umeandika upuuzi gani hapo juu. Basi weka picha naona kuandika kugumu
comment hii kichwa na miguu yake iko wp? foolish!!!!!!!!!
Mwambie arudi na KY jelly ampe mwenye nyumba.