Jamani huyu mnyarwanda naye ni mteule wa Blandina Nyoni!

VOCHA

New Member
Mar 17, 2012
2
4
Najua watu wakiona jina Blandina Nyoni watashtuka !
Lakini tutaendelea kumwaga ***** kuhusu huyu mama ambaye alijaa kiburi cha kimamlaka ,hongereni madkatari !
Mojawapo ya staili aliyokuwa anatumia ni kuchagua viongozi legelege ili awaburuze!
Ndichoalichofanya kwa idara ya usatwi wa jamii!
Leo sitaongelea udhaifu wa idara ile ndani ya wizara!ila ninamwongelea Kamishna msaidizi Bi JEANNE NDYETABURA ambaye ni school mate wa Blandina Nyoni na rafiki mkubwa!
MAMA huyu aliteuliwa kuwa Kamishna msaidizi wa idara ya ustawi wa jamii anayeshulikia masuala ya watoto na familia!
Bi Jeanne NDYETABURA NI MIKIMBIZI TOKA RWANDA ALIYEZALIWA RUKWA NA AMEOLEWA NA AFISA USALAMA MSTAAFU BW ,NDYETABURA!
CHA KUSIKITISHA NI KUWA HUYU MAMA AMBAYE NI MWALIMU ALIYEKIMBIA FANI AMEKWEA HADI NAFASI YA UKAMISHNA ILHALI SI MTANZANIA WA KUZALIWA,INAWEZEKANA AMECHUKUA ARAIA BAADA YA KUOLEWA NA MTANZANIA,LAKINI MATENDO NA MWENENDO WAKE YANAONESHA KABISA KUWA YEYE NI MNYWARANDA KWA SABABAU HAFANYI KAZI YOYOTE YA KUWATUMIKAA WATANZANIA BALI ANATAFUTA FEDHA!
MIMINI MDAU WA IDARA YA USTAWI WA JAMII ,NAMJAUA VIZURI SANA NA JINSI MAMA NYONI ALIVYOKUWA ANAMLEA KAMA RAFIKI YAKE!
INASIKITISHA SANA KUONA SERIKALI HAINA MECHANISM YA KUANGALIA WATU WA KUWAPA MADARAKA !
ANAYEBISHA AFANYE UCHUNGUZI HAPO WIZARANI ,HUYU MAMAM HATA LIKIZO ANAKWENDA KIGALI!
UKITAKA KUJUA KUWA KAMISHNA HUYU HAWATUMIKII WATANZANIA .....MWAKA JANA ALIDIRIKI KUMPELEKA SHORT COURSE BINTI YAKE ANAYEFANYA KAZI BARCLAY BANK KWENDA KWENYE MAFUZO YA MWEZI MMOJA KUHUSU MASUALA YA AFYA NA WATOTOWANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI INAYODHAMINIWA NA SERIKALI YA SWEDEN KWA WATAZANIA WANAOFANYA KAZI KATIKA MASUALA YA WATOTO!
HII NDIO TANZANIA HATA WANYARWANDA WANATUCHEZEA NDANI YA NCHI YETU
 
Acha propaganda kama kweli alizaliwa Rukwa basi anatakiwa akitimiza miaka 18 akane uraia wa Rwanda,sasa cha kufanya tuletee ushahid kuwa hakuwahi kuukana uraia wa Rwanda!
 
najua watu wakiona jina blandina nyoni watashtuka !
Lakini tutaendelea kumwaga ***** kuhusu huyu mama ambaye alijaa kiburi cha kimamlaka ,hongereni madkatari !
Mojawapo ya staili aliyokuwa anatumia ni kuchagua viongozi legelege ili awaburuze!
Ndichoalichofanya kwa idara ya usatwi wa jamii!
Leo sitaongelea udhaifu wa idara ile ndani ya wizara!ila ninamwongelea kamishna msaidizi bi jeanne ndyetabura ambaye ni school mate wa blandina nyoni na rafiki mkubwa!
Mama huyu aliteuliwa kuwa kamishna msaidizi wa idara ya ustawi wa jamii anayeshulikia masuala ya watoto na familia!
Bi jeanne ndyetabura ni mikimbizi toka rwanda aliyezaliwa rukwa na ameolewa na afisa usalama mstaafu bw ,ndyetabura!
Cha kusikitisha ni kuwa huyu mama ambaye ni mwalimu aliyekimbia fani amekwea hadi nafasi ya ukamishna ilhali si mtanzania wa kuzaliwa,inawezekana amechukua araia baada ya kuolewa na mtanzania,lakini matendo na mwenendo wake yanaonesha kabisa kuwa yeye ni mnywaranda kwa sababau hafanyi kazi yoyote ya kuwatumikaa watanzania bali anatafuta fedha!
Mimini mdau wa idara ya ustawi wa jamii ,namjaua vizuri sana na jinsi mama nyoni alivyokuwa anamlea kama rafiki yake!

Inasikitisha sana kuona serikali haina mechanism ya kuangalia watu wa kuwapa madaraka !
Anayebisha afanye uchunguzi hapo wizarani ,huyu mamam hata likizo anakwenda kigali!
Ukitaka kujua kuwa kamishna huyu hawatumikii watanzania .....mwaka jana alidiriki kumpeleka short course binti yake anayefanya kazi barclay bank kwenda kwenye mafuzo ya mwezi mmoja kuhusu masuala ya afya na watotowanaoishi katika mazingira hatarishi inayodhaminiwa na serikali ya sweden kwa watazania wanaofanya kazi katika masuala ya watoto!
Hii ndio tanzania hata wanyarwanda wanatuchezea ndani ya nchi yetu

hapana ndugu mnyarwanda hawezipewa nafasi kama hiyo, nchi yetu iko makini na ina mifumo imara ya kuchuja watu, kwenda tu kigali haitoshi kuthibisha kuwa ni mnyarwanda hebu tupe data za kutosha ili ueleweke
 
Najua watu wakiona jina Blandina Nyoni watashtuka !
Lakini tutaendelea kumwaga ***** kuhusu huyu mama ambaye alijaa kiburi cha kimamlaka ,hongereni madkatari !
Mojawapo ya staili aliyokuwa anatumia ni kuchagua viongozi legelege ili awaburuze!
Ndichoalichofanya kwa idara ya usatwi wa jamii!
Leo sitaongelea udhaifu wa idara ile ndani ya wizara!ila ninamwongelea Kamishna msaidizi Bi JEANNE NDYETABURA ambaye ni school mate wa Blandina Nyoni na rafiki mkubwa!
MAMA huyu aliteuliwa kuwa Kamishna msaidizi wa idara ya ustawi wa jamii anayeshulikia masuala ya watoto na familia!
Bi Jeanne NDYETABURA NI MIKIMBIZI TOKA RWANDA ALIYEZALIWA RUKWA NA AMEOLEWA NA AFISA USALAMA MSTAAFU BW ,NDYETABURA!
CHA KUSIKITISHA NI KUWA HUYU MAMA AMBAYE NI MWALIMU ALIYEKIMBIA FANI AMEKWEA HADI NAFASI YA UKAMISHNA ILHALI SI MTANZANIA WA KUZALIWA,INAWEZEKANA AMECHUKUA ARAIA BAADA YA KUOLEWA NA MTANZANIA,LAKINI MATENDO NA MWENENDO WAKE YANAONESHA KABISA KUWA YEYE NI MNYWARANDA KWA SABABAU HAFANYI KAZI YOYOTE YA KUWATUMIKAA WATANZANIA BALI ANATAFUTA FEDHA!
MIMINI MDAU WA IDARA YA USTAWI WA JAMII ,NAMJAUA VIZURI SANA NA JINSI MAMA NYONI ALIVYOKUWA ANAMLEA KAMA RAFIKI YAKE!
INASIKITISHA SANA KUONA SERIKALI HAINA MECHANISM YA KUANGALIA WATU WA KUWAPA MADARAKA !
ANAYEBISHA AFANYE UCHUNGUZI HAPO WIZARANI ,HUYU MAMAM HATA LIKIZO ANAKWENDA KIGALI!
UKITAKA KUJUA KUWA KAMISHNA HUYU HAWATUMIKII WATANZANIA .....MWAKA JANA ALIDIRIKI KUMPELEKA SHORT COURSE BINTI YAKE ANAYEFANYA KAZI BARCLAY BANK KWENDA KWENYE MAFUZO YA MWEZI MMOJA KUHUSU MASUALA YA AFYA NA WATOTOWANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI INAYODHAMINIWA NA SERIKALI YA SWEDEN KWA WATAZANIA WANAOFANYA KAZI KATIKA MASUALA YA WATOTO!
HII NDIO TANZANIA HATA WANYARWANDA WANATUCHEZEA NDANI YA NCHI YETU

Mkimbizi aliyezaliwa rukwa??? Rwanda kuna rukwa?? Nitarudi
 
Acha propaganda kama kweli alizaliwa Rukwa basi anatakiwa akitimiza miaka 18 akane uraia wa Rwanda,sasa cha kufanya tuletee ushahid kuwa hakuwahi kuukana uraia wa Rwanda!

Songoro,
Tatizo ni hilo la kuwa na asili ya Rwanda au ni kushindwa kazi au kupendelewa? Maana nimegundua kuna baadhi yetu bwana tunafikiria hoja ya kumuita mtu siyo raia ndiyo itatutoa kirahisi, wakati ni kitu kigumu kweli!
 
huna data za kutosha. huna hakika kama ameomba uraia baada ya kuolewa na mtanzania. ungefanya homework yako kwanza kabla ya kupost.

hujui kuwa kuan wakimbizi wapo rukwa,tabora nk zaidi ya miaka 60!
 
Mbona nchi hii ina raia wa kila rangi na kutoka mataifa mbali mbali - cha muhimu hapa niku hukana urai wako wa awali na kuomba wa Tanzania, huyu mama kama aliwahi kuwa mkimbizi alafu kaolewa na Mtazania na kuomba uraia, sasa tatizo liko wapi.

Reading between the lines naona kama una tatizo naye as a person, haya mambo ya uraia na kuhusu binti yake, yote hayo umeyatumbukiza humu kutaka kumdhalilisha tu - sana sana naona kama ni mambo ya kugombania vyeo au hutaki hawe pale wizarani may be she's a no nonsense lady, maanake wenzetu hawa hawana mchezo kwenye uwajibikaji, wako makini sana katika utendaji wao wa kazi, kama alipandishwa haraka haraka wala mimi siwezi kushangaa niwachapa kazi kweli kweli.

Hili la kusema eti "anakwendaga Rwanda wakati wa likizo" kwani hilo lina matatizo gani, kuna sheria yoyote ambayo inakataza Mtanzania mwenye asili ya Rwanda kwenda kuwatembelea wazazi/ndugu zao?
 
Hii sasa ni too much, mnaigeuza JF ni jukwaa la majungu na kumaliziana tofauti zenu!! Kama mna matatizo yenu malizieni huko huko msituletee hapa!!
 
hapana ndugu mnyarwanda hawezipewa nafasi kama hiyo, nchi yetu iko makini na ina mifumo imara ya kuchuja watu, kwenda tu kigali haitoshi kuthibisha kuwa ni mnyarwanda hebu tupe data za kutosha ili ueleweke

Wanyarwanda wamepewa mpaka kazi za usalama wa taifa sembuse ukurugenzi idara ya ustawi wa watoto,hii ndo Tanzania bana
 
Najua watu wakiona jina Blandina Nyoni watashtuka !
Lakini tutaendelea kumwaga ***** kuhusu huyu mama ambaye alijaa kiburi cha kimamlaka ,hongereni madkatari !
Mojawapo ya staili aliyokuwa anatumia ni kuchagua viongozi legelege ili awaburuze!
Ndichoalichofanya kwa idara ya usatwi wa jamii!
Leo sitaongelea udhaifu wa idara ile ndani ya wizara!ila ninamwongelea Kamishna msaidizi Bi JEANNE NDYETABURA ambaye ni school mate wa Blandina Nyoni na rafiki mkubwa!
MAMA huyu aliteuliwa kuwa Kamishna msaidizi wa idara ya ustawi wa jamii anayeshulikia masuala ya watoto na familia!
Bi Jeanne NDYETABURA NI MIKIMBIZI TOKA RWANDA ALIYEZALIWA RUKWA NA AMEOLEWA NA AFISA USALAMA MSTAAFU BW ,NDYETABURA!
CHA KUSIKITISHA NI KUWA HUYU MAMA AMBAYE NI MWALIMU ALIYEKIMBIA FANI AMEKWEA HADI NAFASI YA UKAMISHNA ILHALI SI MTANZANIA WA KUZALIWA,INAWEZEKANA AMECHUKUA ARAIA BAADA YA KUOLEWA NA MTANZANIA,LAKINI MATENDO NA MWENENDO WAKE YANAONESHA KABISA KUWA YEYE NI MNYWARANDA KWA SABABAU HAFANYI KAZI YOYOTE YA KUWATUMIKAA WATANZANIA BALI ANATAFUTA FEDHA!
MIMINI MDAU WA IDARA YA USTAWI WA JAMII ,NAMJAUA VIZURI SANA NA JINSI MAMA NYONI ALIVYOKUWA ANAMLEA KAMA RAFIKI YAKE!
INASIKITISHA SANA KUONA SERIKALI HAINA MECHANISM YA KUANGALIA WATU WA KUWAPA MADARAKA !
ANAYEBISHA AFANYE UCHUNGUZI HAPO WIZARANI ,HUYU MAMAM HATA LIKIZO ANAKWENDA KIGALI!
UKITAKA KUJUA KUWA KAMISHNA HUYU HAWATUMIKII WATANZANIA .....MWAKA JANA ALIDIRIKI KUMPELEKA SHORT COURSE BINTI YAKE ANAYEFANYA KAZI BARCLAY BANK KWENDA KWENYE MAFUZO YA MWEZI MMOJA KUHUSU MASUALA YA AFYA NA WATOTOWANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI INAYODHAMINIWA NA SERIKALI YA SWEDEN KWA WATAZANIA WANAOFANYA KAZI KATIKA MASUALA YA WATOTO!
HII NDIO TANZANIA HATA WANYARWANDA WANATUCHEZEA NDANI YA NCHI YETU

This is slanderous!
Baada ya mzuka kupanda umeamua kutumia Upper case! What a galore gossip!
 
Bilashaka Unatumia MASABURI kufikiri wewe. Mbona Waarabu walio jaa Bungeni haujawasema? Kama ameolewa na Muhaya na kufuata taratibu za uhamiaji ,huyo ni Mtanzania.Anahaki ya cheo chochote.Ubaguzi ni dhambi kubwa sawa na kula nyama ya mtu.
 
Kazi kweli kweli.Labda kuna ukweli ndani yake lakini tutaujua vp?
Idara husika nafikiri wanalijua hilo kama hawalijui wape taarifa wasikie kilio chako
lakini Rukwa iko Tza na kama baba na mama walikuwa wakimbizi alafu hawakupata sheria basi mtoto nae mkimbizi vile vile
 
Wanyarwanda wamepewa mpaka kazi za usalama wa taifa sembuse ukurugenzi idara ya ustawi wa watoto,hii ndo Tanzania bana
mkuu wangu Mukalabamu,maoni yangu ni kwamba mleta hoja ana lake jambo wala siyo uzalendo kwa nchi yake!
 
Back
Top Bottom