Jamani huyu mnyarwanda naye ni mteule wa Blandina Nyoni!

hapana ndugu mnyarwanda hawezipewa nafasi kama hiyo, nchi yetu iko makini na ina mifumo imara ya kuchuja watu, kwenda tu kigali haitoshi kuthibisha kuwa ni mnyarwanda hebu tupe data za kutosha ili ueleweke

Nchi gani hiyo unayoisema?moja ya mambo ambayo yako legelege hapa Tz ni pamoja na hili la wagen.Warundi,Wanyarwanda,Wakenya,Waganda, Wasomali,Wasouth wengi tu wanaishi kienyeji na wanapata madaraka kama kawaida.
 
mkuu wangu Mukalabamu,maoni yangu ni kwamba mleta hoja ana lake jambo wala siyo uzalendo kwa nchi yake!

Wakuu hii hoja ina mapungufu mengi lakini jaribu kuuliza maswali mjibiwe ili kuujua ukweli naamini kuna ukweli mahali fulani
 
Wana jf, huyu ndugu anaweza kuwa na point! Japo ni weak sana kustahili kuja hapa! So hapa kuna "personal beef" tena mie nasema yawezekana mleta hoja ndo asiye Mtanzania maana hata historia ya nchi yetu haijui balabala!Karume,Kambona,viongozi chungu mbovu asili zao wapi?

Je amesahau kuwa mwalimu aliwapa uraia wakimbizi toka Rw na Burundi mwaka 61, na kitu hicho kikarudiwa na Masha hivi majuzi!

Ishu aseme kama anachapa kazi au la,mambo ya kuoneshana vidole vya uraia,utakuta karibu 70% ya wahaya si raia,bado wanyasa etc, halafu itatusaidia nini?
 
Hoja hapa ni upendeleo wa Nyoni? au mleta hoja anataka hoja yake ijiegemeze kwenye madudu aliyofanya Mama nyoni? Kama si hivyo, hoja yake ni uraia wa Ndyetabula? ua hoja n lifestyle ya huyo mama?
 
Wana jf, huyu ndugu anaweza kuwa na point! Japo ni weak sana kustahili kuja hapa! So hapa kuna "personal beef" tena mie nasema yawezekana mleta hoja ndo asiye Mtanzania maana hata historia ya nchi yetu haijui balabala!Karume,Kambona,viongozi chungu mbovu asili zao wapi?

Je amesahau kuwa mwalimu aliwapa uraia wakimbizi toka Rw na Burundi mwaka 61, na kitu hicho kikarudiwa na Masha hivi majuzi!

Ishu aseme kama anachapa kazi au la,mambo ya kuoneshana vidole vya uraia,utakuta karibu 70% ya wahaya si raia,bado wanyasa etc, halafu itatusaidia nini?

Hiyo 70% wape Waha (Kigoma), Wahangaza (Ngara) na Wanyambo (Karagwe).
 
Huyo mtoto wake wa Barclays ameolewa? Nataka nikamwulize kama anajua mama yao aliukana uraia wa Rwanda..
 
Kazi kweli kweli.Labda kuna ukweli ndani yake lakini tutaujua vp?
Idara husika nafikiri wanalijua hilo kama hawalijui wape taarifa wasikie kilio chako
lakini Rukwa iko Tza na kama baba na mama walikuwa wakimbizi alafu hawakupata sheria basi mtoto nae mkimbizi vile vile

Watu wengi tuna tatizo la color blindness hasa GREEN!
 
Ila wanyarwanda hawana noma,hawatudharau kama wakenya na matatizo yao tunayajua! Ishu ni wakenya! Kama kuna mtu anamjua Kenya aliye pewa post Mimi naweza hata mfuata bila subiria Uhamiaji, Jamaa wanatuona watanzania vitunguu sana.bora tudharauliane wenyewe lakini si mgeni tena toka Ke nya!
 
Hawatudharau ni kweli sisi ni vitunguu maji ukiangalia hii nchi ilivyo na utajiri wa rasilimali halafu hata raisi wetu tu hajui ni kwanini ni masikini na bado anaomba kura anashinda tena then ukataa kuwa wewe sio kitunguu maji,hii nchi ni mkusanyiko wa watu wenye matatizo ya akili na ushahidi ni ushindi wa ccm kuanzia 1995 hadi 2015
 
Bilashaka Unatumia MASABURI kufikiri wewe. Mbona Waarabu walio jaa Bungeni haujawasema? Kama ameolewa na Muhaya na kufuata taratibu za uhamiaji ,huyo ni Mtanzania.Anahaki ya cheo chochote.Ubaguzi ni dhambi kubwa sawa na kula nyama ya mtu.

Mbona hata Athumani Kapuya na Simbakalia asili yao ni watoto wa wakimbizi!!
 
Mbona hata mgombea ubunge arumeru east ana uraia wa kenya!!! Mbona alshaabab ina wawakilishi ndani ya bunge la JMT tena walimanage vizuri kampeni za ccm 2010 hadi ushindi wa kishindo? Tatizo la uraia ni pale muhuska anapo yakosoa magamba
 
Ila wanyarwanda hawana noma,hawatudharau kama wakenya na matatizo yao tunayajua! Ishu ni wakenya! Kama kuna mtu anamjua Kenya aliye pewa post Mimi naweza hata mfuata bila subiria Uhamiaji, Jamaa wanatuona watanzania vitunguu sana.bora tudharauliane wenyewe lakini si mgeni tena toka Ke nya!

Joseph Mungai Former Minister for Education
 
hapana ndugu mnyarwanda hawezipewa nafasi kama hiyo, nchi yetu iko makini na ina mifumo imara ya kuchuja watu, kwenda tu kigali haitoshi kuthibisha kuwa ni mnyarwanda hebu tupe data za kutosha ili ueleweke

makini kwenye ufisadi and not otherwise!
 
Umekurupuka mkuu. Kama amezaliwa Rukwa huyo ni raia wa Tanzania kwa kuzaliwa. Hivyo kama akirudi Rwanda huko ndio anatakiwa aukane uraia wa Tanzania. Vile vile ni makosa kumwita mkimbizi kwani si raia wote wa kigeni ni wakimbizi. Tofauti zenu za kikazi fuata taratibu zilizowekwa na serikali kufikisha malalamiko yako. Ninashaka kama mtu ameolewa na TISS mstaafu naamini taratibu zote za kuutambua uraia wake zilizingatiwa kwani wao ndio wenye jukumu la 'kuhakiki' uraia halisi wa mtu yeyote.
 
Wanyarwanda wamepewa mpaka kazi za usalama wa taifa sembuse ukurugenzi idara ya ustawi wa watoto,hii ndo Tanzania bana

Kama ulikuwepo muka umemaliza,anashangaa vngenge yuko Tanzania gani huyo jamaa?
 
Najua watu wakiona jina Blandina Nyoni watashtuka !
Lakini tutaendelea kumwaga ***** kuhusu huyu mama ambaye alijaa kiburi cha kimamlaka ,hongereni madkatari !
Mojawapo ya staili aliyokuwa anatumia ni kuchagua viongozi legelege ili awaburuze!
Ndichoalichofanya kwa idara ya usatwi wa jamii!
Leo sitaongelea udhaifu wa idara ile ndani ya wizara!ila ninamwongelea Kamishna msaidizi Bi JEANNE NDYETABURA ambaye ni school mate wa Blandina Nyoni na rafiki mkubwa!
MAMA huyu aliteuliwa kuwa Kamishna msaidizi wa idara ya ustawi wa jamii anayeshulikia masuala ya watoto na familia!
Bi Jeanne NDYETABURA NI MIKIMBIZI TOKA RWANDA ALIYEZALIWA RUKWA NA AMEOLEWA NA AFISA USALAMA MSTAAFU BW ,NDYETABURA!
CHA KUSIKITISHA NI KUWA HUYU MAMA AMBAYE NI MWALIMU ALIYEKIMBIA FANI AMEKWEA HADI NAFASI YA UKAMISHNA ILHALI SI MTANZANIA WA KUZALIWA,INAWEZEKANA AMECHUKUA ARAIA BAADA YA KUOLEWA NA MTANZANIA,LAKINI MATENDO NA MWENENDO WAKE YANAONESHA KABISA KUWA YEYE NI MNYWARANDA KWA SABABAU HAFANYI KAZI YOYOTE YA KUWATUMIKAA WATANZANIA BALI ANATAFUTA FEDHA!
MIMINI MDAU WA IDARA YA USTAWI WA JAMII ,NAMJAUA VIZURI SANA NA JINSI MAMA NYONI ALIVYOKUWA ANAMLEA KAMA RAFIKI YAKE!
INASIKITISHA SANA KUONA SERIKALI HAINA MECHANISM YA KUANGALIA WATU WA KUWAPA MADARAKA !
ANAYEBISHA AFANYE UCHUNGUZI HAPO WIZARANI ,HUYU MAMAM HATA LIKIZO ANAKWENDA KIGALI!
UKITAKA KUJUA KUWA KAMISHNA HUYU HAWATUMIKII WATANZANIA .....MWAKA JANA ALIDIRIKI KUMPELEKA SHORT COURSE BINTI YAKE ANAYEFANYA KAZI BARCLAY BANK KWENDA KWENYE MAFUZO YA MWEZI MMOJA KUHUSU MASUALA YA AFYA NA WATOTOWANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI INAYODHAMINIWA NA SERIKALI YA SWEDEN KWA WATAZANIA WANAOFANYA KAZI KATIKA MASUALA YA WATOTO!
HII NDIO TANZANIA HATA WANYARWANDA WANATUCHEZEA NDANI YA NCHI YETU

Unaota uko Sisiyemu kwenye kura za maoni?
 
Kwani hawa viongozi ambao ni watanzania wa kuzaliwa wanatusaidia nini? Si wezi tu? Tena majizi yote wala hayana hata uzalendo.
 
Back
Top Bottom