SIMBA SC 2-0 JKT RUVU (Amri Kiemba,Haruna Moshi) FT; MTIBWA SUGAR 3-0 YANGA (Dickson Daudi 11, Husein Javu 45,77) DAKIKA 90;
wewe sio mwanayanga kinachkuwasha ni kitu gani?SIMBA SC 2-0 JKT RUVU (Amri Kiemba,Haruna Moshi) FT; MTIBWA SUGAR 3-0 YANGA (Dickson Daudi 11, Husein Javu 45,77) DAKIKA 90;
Hapo bornagain utanena kwa lugha!!Du huu mwaka nimefulia kiushabiki, kule Uingereza nipo na Liverpool na hapa nyumbani nipo na Yanga sasa sijui nikimbilie wapi
Mbuyi Twite changanya na Kevini Yondani nyunyizia Kavumbangu katia na Chuji usisahau Kiiiiiiiiiiiizaaaaaa yoooooooooote 9 kumi tatizo ni kocha kuvaa heleni na kumlazimisha alale kitanda kimoja na Afisa habari Sendeu, bado analalamika na kitendo alichofanyiwa na Sendeu kulala kitanda kimoja na kuoga maji ya ndoo kwa mikono kabla haja omba kopo la kuogea chumba cha pili.....
wewe sio mwanayanga kinachkuwasha ni kitu gani?
Hee kumbe hii team ya mtaa wa 2 ina Mashabiki wengi namna hii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!