Jamani huyu binti yangu ataniua kwa presha....

kuvunja ungo hakuendani na akili,manake hata magoigoi wanavunja ungo. ni factor ya hormones, lakini hamna budi kumuandaa kwa hilo pia kabla hajawahiwa na 'mwalimu'. siku akiona tangazo la pedi kwenye tv,akauliza swali mnamshukia na information full package. ili kupunguza concern ya kutokua na adabu, mnaweza kumfunza kuhusu kusubiri. unaweza kumuambia 'ngoja tuangalie taarifa ya habari, na tutaongea kuhusu hili jumamosi wakati tumetulia na tuna nafasi'. hiyo itakupa muda pia wa kujiandaa kwa maswali magumu. na kama unaona hauko comfortable kuongea nae kitu unaweza kumuambia kama surprise tu'actually aunt king'asti ni mtaalamu wa mambo hayo, ngoja atakuja wknd atufundishe pamoja na sie', then unaweza kupata udhuru akabaki na mamake na mtu unaetaka aongee nae. kumfundisha timing ya kuongelea mambo ama kutoa mawazo yake inaweza kuondoa kibri, ajue nani ana kauli hapo. akikosa adabu ama ku-embarass mtu usikose kumuadhibu.mfundishe kuwa sio lazima kila wakati kuonesha kila mtu kuwa unajua kila kitu,inaumiza watu na kuwafanya wasijisikie uzuri.
inaweza kuwa muhimu kufuatilia jinsi gani anatumia muda wake akiwa shuleni kwa kuongea na walimu pia. dawa ya mwanao ni kumpa assignment za kusoma vitabu. akimaliza vya sayansi za kitoto na dini mkomelee history and biographies. unaweza kumpa kitabu asome na wknd mkatumia muda akupe feedback ya characters waliomo. ila itakubidi nawe usome na kujitanua awazo na uzee wako huo,lol.
Nakushukuru sana kwa maoni yako, nitajitahidi sana kutumia mbinu hiyo, naamini itanisaidia........................ Kuna jamaa yangu kaniambia kuwa inawezekana akavunja ungo mapema, hiyo nayo imenishtua sana, MIAKA 7! inawezekana kweli? na kama ni kweli nadhani akili yake itakuwa anaendana na maumbile yake...................... anyway maoni yenu kwa ujumla nitayafanyia kazi.
 
mtoto yuko vizuri tu huyo ni mdadisi sana,usibishane nae ila mueleweshe siku ambayo hambishani.alafu huu si muda muafaka sana wa kujua mengi,msubirisubiri akue kidogo umpe somo la uakika kimaisha.
 
Mtoto kuwa mdadisi sio kitu kibaya lkn kama huo udadisi upo ktk mambo fulani tu inabidi ushituke.Uwezo wake kimasomo ukoje?
 
kuvunja ungo hakuendani na akili,manake hata magoigoi wanavunja ungo. ni factor ya hormones, lakini hamna budi kumuandaa kwa hilo pia kabla hajawahiwa na 'mwalimu'. siku akiona tangazo la pedi kwenye tv,akauliza swali mnamshukia na information full package. ili kupunguza concern ya kutokua na adabu, mnaweza kumfunza kuhusu kusubiri. unaweza kumuambia 'ngoja tuangalie taarifa ya habari, na tutaongea kuhusu hili jumamosi wakati tumetulia na tuna nafasi'. hiyo itakupa muda pia wa kujiandaa kwa maswali magumu. na kama unaona hauko comfortable kuongea nae kitu unaweza kumuambia kama surprise tu'actually aunt king'asti ni mtaalamu wa mambo hayo, ngoja atakuja wknd atufundishe pamoja na sie', then unaweza kupata udhuru akabaki na mamake na mtu unaetaka aongee nae. kumfundisha timing ya kuongelea mambo ama kutoa mawazo yake inaweza kuondoa kibri, ajue nani ana kauli hapo. akikosa adabu ama ku-embarass mtu usikose kumuadhibu.mfundishe kuwa sio lazima kila wakati kuonesha kila mtu kuwa unajua kila kitu,inaumiza watu na kuwafanya wasijisikie uzuri.
inaweza kuwa muhimu kufuatilia jinsi gani anatumia muda wake akiwa shuleni kwa kuongea na walimu pia. dawa ya mwanao ni kumpa assignment za kusoma vitabu. akimaliza vya sayansi za kitoto na dini mkomelee history and biographies. unaweza kumpa kitabu asome na wknd mkatumia muda akupe feedback ya characters waliomo. ila itakubidi nawe usome na kujitanua awazo na uzee wako huo,lol.

@King'asti..........Hakika wewe ni mwalimu mzuri wa ELIMU RIKA.............. Unajua kuna aina ya malezi ambayo hatukupewa Nyumbani wala Shuleni. Huwezi kuamini kuna mambo mengine nimejifunzia ukubwani na bado ninajifunza. Kizazi tulicho nacho hakiko tayari kupokea TABOO, hiyo habari hawaihitaji kabisa................ na ndio maana hata mie Mtambuzi, nahenyeshwa na mwanangu mwenyewe................
 
Mwanao ana mapepo. Ni vyema mtoto akuzwe kwa namna ya kuhofu mamlaka na Mungu pia. Maandiko yanasema mlee mtoto njia impasayo naye hatoiacha hata atakapokuwa mtu mzima.

umejuaje kama anamapepo? hizo ni karama za Mungu ina maana unataka kusema kwa ufahamu wa Yesu alivyokuwa mdogo ilikuwa ni mapepo? usihitimishe kwa neno hilo.
Ila sisi kama wazazi tuko na kazi kubwa ya kuwaombea watoto wetu, maana shetani hupenda kujiinua kupitia kwao. kwa kuwa sisi wazazi wa sasa tuko busy na maisha na kuhangaikia watoto wetu waishi maisha bora, hivyo inatufanya tuwaache watoto kwa wasichana wa kazi(madada) ambao hatujui makuzi yao yalikuwaje. wengine wako na roho za kichawi na ushirikina. Mungu atusaidie kuwalea watoto wetu katika njia impasayo huku tukimpendeza mungu.
 
i am just humbled and honored by ur comment. ni kujaribu tu,mlezi mkuu ni Mungu
@King'asti..........Hakika wewe ni mwalimu mzuri wa ELIMU RIKA.............. Unajua kuna aina ya malezi ambayo hatukupewa Nyumbani wala Shuleni. Huwezi kuamini kuna mambo mengine nimejifunzia ukubwani na bado ninajifunza. Kizazi tulicho nacho hakiko tayari kupokea TABOO, hiyo habari hawaihitaji kabisa................ na ndio maana hata mie Mtambuzi, nahenyeshwa na mwanangu mwenyewe................
 
kuvunja ungo hakuendani na akili,manake hata magoigoi wanavunja ungo. ni factor ya hormones, lakini hamna budi kumuandaa kwa hilo pia kabla hajawahiwa na 'mwalimu'. siku akiona tangazo la pedi kwenye tv,akauliza swali mnamshukia na information full package. ili kupunguza concern ya kutokua na adabu, mnaweza kumfunza kuhusu kusubiri. unaweza kumuambia 'ngoja tuangalie taarifa ya habari, na tutaongea kuhusu hili jumamosi wakati tumetulia na tuna nafasi'. hiyo itakupa muda pia wa kujiandaa kwa maswali magumu. na kama unaona hauko comfortable kuongea nae kitu unaweza kumuambia kama surprise tu'actually aunt king'asti ni mtaalamu wa mambo hayo, ngoja atakuja wknd atufundishe pamoja na sie', then unaweza kupata udhuru akabaki na mamake na mtu unaetaka aongee nae. kumfundisha timing ya kuongelea mambo ama kutoa mawazo yake inaweza kuondoa kibri, ajue nani ana kauli hapo. akikosa adabu ama ku-embarass mtu usikose kumuadhibu.mfundishe kuwa sio lazima kila wakati kuonesha kila mtu kuwa unajua kila kitu,inaumiza watu na kuwafanya wasijisikie uzuri.
inaweza kuwa muhimu kufuatilia jinsi gani anatumia muda wake akiwa shuleni kwa kuongea na walimu pia. dawa ya mwanao ni kumpa assignment za kusoma vitabu. akimaliza vya sayansi za kitoto na dini mkomelee history and biographies. unaweza kumpa kitabu asome na wknd mkatumia muda akupe feedback ya characters waliomo. ila itakubidi nawe usome na kujitanua awazo na uzee wako huo,lol.[/
QUOTE]

Nimeipenda sana hii ubarikiwe mama na Mungu azidi kukuongezea maarifa, binti akinianzia tu mbona nitakualika useme nae lol
 
@King'asti..........Hakika wewe ni mwalimu mzuri wa ELIMU RIKA.............. Unajua kuna aina ya malezi ambayo hatukupewa Nyumbani wala Shuleni. Huwezi kuamini kuna mambo mengine nimejifunzia ukubwani na bado ninajifunza. Kizazi tulicho nacho hakiko tayari kupokea TABOO, hiyo habari hawaihitaji kabisa................ na ndio maana hata mie Mtambuzi, nahenyeshwa na mwanangu mwenyewe................

take it from the positive side of it ... bintiyo ni mdadisi na kichwa vilevile ... kama uko busy sana na kazi ni kipindi cha kupunguza busy schedules zako na kupata muda mwingi wa kuwa na familia yako na hasa huyo binti yako ... at that age and with her aggressiveness + confidence atakuhitaji sana kumuongoza coz tayari anamdharau mama yake (ni kawaida kwa vibinti vya hivyo) ... hakikisha pia hakosi elimu ya dini yake (madrassa au sunday school) kumuwezesha kujitambua zaidi na kujenga hofu ya Mungu (kuwa na utu!) ... kifupi, unapswa sasa kum - guided kwa ukaribu sana sababu so far anakuona kama ni mentor wake and someone she can rely on (refer to her questions) ... pls don't let her fall in the wrong hands ... utajutia!! kila la heri mkuu ... and congrats @ 40!!
 
Duh! Binti yako sijui ndio anajiamini sana! Jaribu kuchunguza na aina ya marafiki alionao.
 
lol! usijali mpenzi, mambo yakichachamaa nistue. lakini itakua na impact zaidi kama tutashauriana jinsi ya wewe kusema nae,ila ukizidiwa ndo aunt anauja kusalimia na kulianzisha hahaha
Nimeipenda sana hii ubarikiwe mama na Mungu azidi kukuongezea maarifa, binti akinianzia tu mbona nitakualika useme nae lol
 
Ukiona mtoto wako anaongea vitu ambavo hutapenda aongee mbele za watu mwmbie hapohapo ukiacha na kumwambia badae huwa wanasahau, yes wanajua mambo mengi mapema lakini wawe na mipaka
 
kuvunja ungo hakuendani na akili,manake hata magoigoi wanavunja ungo. ni factor ya hormones, lakini hamna budi kumuandaa kwa hilo pia kabla hajawahiwa na 'mwalimu'. siku akiona tangazo la pedi kwenye tv,akauliza swali mnamshukia na information full package. ili kupunguza concern ya kutokua na adabu, mnaweza kumfunza kuhusu kusubiri. unaweza kumuambia 'ngoja tuangalie taarifa ya habari, na tutaongea kuhusu hili jumamosi wakati tumetulia na tuna nafasi'. hiyo itakupa muda pia wa kujiandaa kwa maswali magumu. na kama unaona hauko comfortable kuongea nae kitu unaweza kumuambia kama surprise tu'actually aunt king'asti ni mtaalamu wa mambo hayo, ngoja atakuja wknd atufundishe pamoja na sie', then unaweza kupata udhuru akabaki na mamake na mtu unaetaka aongee nae. kumfundisha timing ya kuongelea mambo ama kutoa mawazo yake inaweza kuondoa kibri, ajue nani ana kauli hapo. akikosa adabu ama ku-embarass mtu usikose kumuadhibu.mfundishe kuwa sio lazima kila wakati kuonesha kila mtu kuwa unajua kila kitu,inaumiza watu na kuwafanya wasijisikie uzuri.
inaweza kuwa muhimu kufuatilia jinsi gani anatumia muda wake akiwa shuleni kwa kuongea na walimu pia. dawa ya mwanao ni kumpa assignment za kusoma vitabu. akimaliza vya sayansi za kitoto na dini mkomelee history and biographies. unaweza kumpa kitabu asome na wknd mkatumia muda akupe feedback ya characters waliomo. ila itakubidi nawe usome na kujitanua awazo na uzee wako huo,lol.

mkweeee! Nakuletea wajukuu ulee.
 
Ndo kizazi kipya chenye ualewa na ufahamu wa hali ya juu, inabidi uongee point mbele yake si ubabaishaji ukidhani ni mtoto.
 
...huyo ni Ngina au Ngadu?aisee hiyo ni assets nzuri kama utamsimamia vema,hapo namwona migiro na tibaijuka wa baadaye tena yeye atafika ngazi zao mapema sana,mapemaaaa!!kuwa makini wakati wa kumwelesha hasa kwa vitu anavyovifahamu,kwani nahisi hapo tayari masikio yameishazidi kichwa...!!!
 
Huyo ni NGINA................ Kama kina Rose Asha Migiro na kina Mama Tibaijuka walikuwa hivi enzi za utoto wao, basi wazazi wao nawapa pongezi......
 
Back
Top Bottom