Hivi nyie mbona mnatetea upuuzi wa mwanamke mwenzenu?
Hata kama mume hajafanya foreplay, ndio majibu ya kumjibu mmeo eti "usiniharibie usingizi wangu!!"
Umeniudhi sana kwa kutetea ujinga, ungekuwa karibu ningekunasa kibao.
Sitetei upuuzi bali nasema ukweli, hiyo ni starehe sio karaha. Kama jamaa anamaujanja mwanamke lazima atakuwa anaaprreciate na sio laizma kila siku aanze mme, kuna siku mke anaanzisha game. Kila ilivyo sisi tunaangalia upande mmoja wa mleta mada bila kujua anamapungufu anayofanya kitandani kufikia huyo mama kuchukia hili tendo. Birdman
Kaeni myazungumze.....jaribu kujua kuna kitu gani hapendelei kufanya na anapenda kufanya. Mapeni ni kiridhiana achana na mambo ya mgambo.
I could actually seat you in a classroom and lecture you about marriage. Hapa nimeleta jukwaani tatizo ili wanaforum wachangie. Like I said, nina miaka 9 ndani ya ndoa. Talk about you kunifundisha maujanja....hahaaaaa madame X. Nashukuru kwa mchango wako hata hivyo..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.