Jamani huu ujeuri utanichepusha sasa

Jamani huu ujeuri utanichepusha sasa

Birdman

Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
79
Reaction score
24
Hii sio fresh kabisa.

Nikitaka hanipi, nikilazimisha nabaka, nikiomba asubuhi sithamini usingizi wake, yaani kupata ni mpaka ninyemelee nijipendekezeshe eti sasa joto siku hizi ndio kabisaaaa.

Lakini nimwangalia hausigeli anaana kuiva iva - kashakunywa lita kadhaa za mfuta mabichi ya kupika. Kusema ukweli nishaanza kumtamni, na ili nisijidhalilishe, sasa nina tengeneza contact list mpya kwenye simu - you know what it is for.

Wanawake wote wenye sifa kama za huyu mnatutia ibilisi, mnatukwaza elimikeni, fumbueni mabichwa yenu, jitambueni na mtambue mjukumu yenu, yatekelezeni.

Mburulaaaz akiona mme kachepuka itaanaza kuwa visa ndani ya nyumba, so what should a brother do.
 
Umeongea kama vile uko sahihi kwa kila kitu na hakuna kitu ambacho na wewe unamkwaza yeye.

By the way ningekuwa mimi ningeacha kumuomba mchezo wala kubembeleza mahaba toka kwake......kwa kuwa ni binadamu na mwanandoa lazima baada ya siku kadhaa atataka kujua nini mbaya inaendelea. Majadiliano yataanzia hapo.

Si vizuri mwanaume mwenzangu ukimbilie kuchepuka wakati hujafanya juhudi za kutosha kuikabili hali hiyo.
 
Daaaah na tabia ya abdallah kichwa wazi mida ya saa tisa usiku na alfajiri weee anasimama huyooo!!mbona unakazi ndugu yetu pole,acha nipande kifuani muda huu nachelewa!!
 
Boss, unanishauri nikalale njaa ndugu yangu. Kazi kweli kweli - uroda una manufaa kwa afya zaidi ya tujuavyo. Mtu ananidhulumu afya yangu halafu kisha nimsaidie - si bora nitafute assistant!! By the way one part ya ushauri wako ni sahihi - kuacha kuomba. Shida tu ni utekelezaji bila ya burudisho mbadala...tafakari hapo...
 
Tinna Cute kula limau yahitaji kulikunjia us dadangu - bado natafakari yahitajiuumilivu. Ngoja kwanza anywe mafuta ya kupikia lita zingine kama kumi hivi....nikifumwa na HG wa sasa hata majirani watanicheka...
 
Hasira ya mkeo ndio unatugeneralize,kitanda kimoja anakuletea jeuri ujue we we mwenyewe una shida either sio mtamu :what::thumbdown:,wenzio wAnakamia vizuri tu
 
Mtafutie mchepuko wa maana huyo atatia akili mwenyewe!!
 
"Mama nanilii hebu fasta mi nataka naniliiuu" hapo hamna cha maandalizi wala nini! Unategemea nini?
 
Hii sio fresh kabisa!!! Nikitaka hanipi, nikilazimisha nabaka, nikiomba asubuhi sithamini usingizi wake..yaani kupata ni mpaka ninyemelee nijipendekezeshe.....eti sasa joto siku hizi ndio kabisaaaa......
Lakini nimwangalia hausigeli anaana kuiva iva - kashakunywa lita kadhaa za mfuta mabichi ya kupika. Kusem ukweli nishaanza kumtamni, na il nisijidhalilishe, sasa nina tengene contact list mpya kwenye simu - you know what it is for.
Wanawake wote wenye sifa kama za huyu mnatutia ibilisi, mnatukwaza!!!! Elimikeni, fumbueni mabichwa yenu, jitambueni na mtambue mjukumu yenu, yatekelezeni!!!!!! Mburulaaaz akiona mme kachepuka itaanaza kuwa visa ndani ya nyumba, so what should a brother do!!!!!

mimi nahis tatizo liko kwako. humtoshelezi, huwa unamwacha akiwa bado hajashiba hivyo apendi umwachie maumivu. usipofanya juhudi, wenzio wanaojua kula watakusaidia. usipuuze ushauri huu. kwa ushauri zaidi nitafute
 
Hapana Kiwese. I'm very serious. Issue sio kutoshelezana wala nini. At one point wanawake huota mapembe tu na solution tunazichelewesha kwa kuhofu lawana......assistant!!!!! Trust me, kama umeoa utakuja ona. By the way huu ni mwaka wa 9 kwenye marriage yangu hivyo ninaongea kwa data..
 
Speechless wakati wa vita?? Don't wait until one day some woman auto-opens you up. Hutakuwa speechless kabisa..
 
Hapana Kiwese. I'm very serious. Issue sio kutoshelezana wala nini. At one point wanawake huota mapembe tu na solution tunazichelewesha kwa kuhofu lawana......assistant!!!!! Trust me, kama umeoa utakuja ona. By the way huu ni mwaka wa 9 kwenye marriage yangu hivyo ninaongea kwa data..

Yani miaka yote hiyo hujachepuka bado, umechelewa kwakweli we vumilia tu, muda wako wa kuchepuka umeksipaya.
 
Back
Top Bottom