oruguyo
Senior Member
- Jul 28, 2012
- 139
- 51
Mkuu usidanganywe kuacha kazi kaz ulonayo ndo mtaji wako, hakuna cha tamisemi utaibiwa bure, kweli hakuna transfer ya adhabu isiyo na malipo. Pili unatakiwa kuwapo ktk ki2o cha kaz mda wote wakaz, tatu hakikisha unatimiza majukum yako yakikaz kama mwajiliwa na si vinginevyo, andaa scheme,reson pln na attend class.kumbuka hujazaliwa kuwa academic, discipline, etc. Istoshe hakuna faida kubwa kias hcho kwa kuteuliwa ktk vijinafasi hvyo. Mimi niliteuliwa mkuu alivyo anza kuniingilia niliamua kujihuzuru kwa sasa nimwalimu wa darasa nimeamua kuwekeza kwenye private project na mambo yako pouwa kuliko hata mkuu. chukua hatua mda ni huu.