Jamani huu si uchawi saidia

Status
Not open for further replies.
Eiyer. Labda nikukumbushe kidogo kuhusu huu mjadala wetu.

Hapa toka mwanzo tatizo lililopo ni je! Allah maana yake ni MUNGU!.??

Wewe unasema huyu ni wa waislamu tu!
Na mimi nakwambia kuwa huyu "ALLAH"
Ni " MUNGU" wa watu wote.

Na kama ulivyo kubali kwenye uzi huu kuwa.

Inawezekana kuna miungu wengi lakini MUNGU WA KWELI NI MMOJA TU!.

Sasa huenda mimi na wewe tatizo letu ni namna ya kumwuita huyo MUNGU.!

Lakini huenda akawa ni huyohuyo mmoja!

Sasa kwa sababu wewe mwenyewe umekubali kuwa MUNGU WA KWELI NI MMOJA TU!.

Na kutokana na kauli yako hio .

ndio maana Mimi nakuuliza swali dogo tu.

Je! Wewe Eiyer unaabudu huyo MUNGU WA KWELI. AMBAE NI MMOJA TU??

AU umekubali tu kuwa MUNGU WA KWELI NI MMOJA .
Lakini unaabudu miungu wengine zaidi ya MMOJA??

Hapa ni kutaka kujua tu! Je! Unafanya unacho kisema?? Au unasema tu! lkn matendo ni tofauti??

Na wala sio kuwa mimi kwa nini nataka kujua mungu gani unaabudu!

Hapa Ni jibu moja tu kati ya haya mawili !

1.Ni aidha unaabudu MUNGU MMOJA.
kama ulivyo kubali hapo nyuma kuwa huyo MMOJA ndio wa kweli.
AU
2.Japo unakubali kuwa MUNGU WA KWELI NI MMOJA TU. lakini unaabudu miungu zaidi ya MMOJA!!

Ni hilo tu.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Kitoabu .Huu ushauri uliompa MaxShimba ni Ghali saana na thamani yake ni ya ajabu!

Ya laiti kama angekusikiza basi huenda akapata uzima wa milele. Na yesu pia akampenda!

Lakini alivyo mbishi Huyu. ! Sina hakika kama ataona thamani yake!

Zaidi . Atatoa matusi na kashfa!

Maskini maxshimba!

Namuomba MUNGU MKUU amuonyeshe ukweli!
 
Last edited by a moderator:
kahtaan,
Mimi siamini na sikubali kama Allah ni Mungu muumba wa mbingu na nchi
'
Pia Allah sio mungu wa watu wote
'
Ni kweli inawezekana miungu ikawa mingi na ni kweli Mungu wa kweli ni mmoja tu
'
Tatizo la mimi na wewe sio tofauti ya majina tu bali wewe na mimi tunaabudu miungu wawili tofauti,lakini haina maana kuna miungu wawili la hasha
'
Ulimwenguni kuna Mungu na Shetani,Mungu huyo ni Mungu wa Ibrahimu,Isaka na Yakobo,aliyemtoa mwanae mpendwa auokoe ulimwengu,Mungu huyu anaitwa NIKO AMBAE NIKO,Mungu huyu anapatikana kwenye Biblia tu
'
Upande wa pili kuna shetani,nae kwa kuwa kuna wanaomuabudu tena kwa majina tofauti tofauti nae huitwa mungu lakini sio muumbaji
'
Hivyo kama humuabudu Mungu niliekuambia hapo juu utakua upande wa pili kwa kuwa usipomuabudu Mungu wa kweli ambae nimekueleza maana yake utakua unamuabudu mungu wa uongo!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kahtaan, nathubutu kusema umeua na kuufunga mjadala kwahiyo nondo hapo juu!

Majibu yenye ushahidi kwa kila alichouliza! Ahsante Doctor kahtaan
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kahtaan, nathubutu kusema umeua na kuufunga mjadala kwahiyo nondo hapo juu!

Majibu yenye ushahidi kwa kila alichouliza! Ahsante Doctor kahtaan

Tunajaribu tu kuwakumbusha hawa waisraeli wa kitanzania!(photocopy)

Mkuu Izz lakini wabishi kuliko hata hao waisraeli ( original.)
 
Last edited by a moderator:

Acha kuamini uchawi, hizo ni ndoto tu.
 
Hapo chacha patamu kweli njomba toa choipu chacha!


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Tatizo la maxishimba Ana IDs nyingi mno anapoona anashindwa na hoja anakuja na IDs nyingine kuji support , .. there are plenty of verses inside the holly Quran .. Allah anathibitisha yeye ni Mungu.

Kwanza makafiri hamjiulizi why Allah and god ... Simply Allah halina uwingi plural , na neno god .. lina uwingi... Hakuna mungu/ miungu isipokuwa Allah .. hapo mnaambiwa ninyi makafiri .. kile kinyago cha mzungu kinachomuonesha anakufa with helpless death sio Mungu,

But seriously msomi mzima unanunua dukani picha ya Mzungu na kuamini ni Mungu.. Hehehehe ...

ii bookmark this thread .. ntakuja na hiyo ayat Allah SW anathibitisha yeye Allah ni Mungu nishawahi kulijibu Mara kibao hilo swali sijui kwa nini mnapenda kulirudia
 
Hivi kahtaan kati ya Yesu na Kristo lipi ni jina?
'
Maana naona unauliza maswali ya ajabu ajabu tu!
 
Last edited by a moderator:

Ndugu Eiyer, bila JF elimu hii ungeipata wapi?!

Mshukuru Allah kwa kukuongoza mpaka kwenye huu Uzi ili uje uijue kweli na kwenda kuwatangazia "mataifa" huu UKWELI mtupu anao kufundisha Doctor kahtaan

Tafadhali endelea kupata darsa kwa kujibu swali la kahtaan hapo juu, ahsante!
 
Last edited by a moderator:
kahtaan ,
Again you make me smile,anyway it doesn't matter
'
Ngoja "nikujibu" swali lako,NINAMUABUDU MUNGU MMOJA kwa mujibu wa BIBLIA Takatifu
'
Nadhani sasa ni wakati wako wa kujibu swali langu,
'
Mwana wa ahadi ni nani?
'
Na ahadi hiyo ni ipi?
'
Mtazamo wako kuhusu Mtakatifu Paulo,na mtazamo wako kuhusu Biblia takatifu tutaujadili baada ya wewe kujibu maswali yangu hayo!
 
Last edited by a moderator:

Dah, mkuu kahtaan nakushauri tu, achana na huu ubishi wa Imani! Acha watu waamini katika imani yao na wewe amini kwa imani yako. Nadhani ningeona busara yako kama ungemshauri mtoa huu uzi kuhusu jinsi ya kutatua tatizo lake na sio kukashifu ushauri wa watu wengine hasa imani yao!!
 
Ule wimbo wa Mbaraka Mwishehe wa 'Mtaa Wa Saba' unanijia kichwani. Ila inaelekea hapo unapokaa hiyo nyumba imejengwa makaburini na mizimu ama wenye hilo eneo hawataki ukae hapo na ndiyo maana unakumbana na hivyo vituko. Hapo inabidi uhame haraka sana la sivyo utakuja kufilwa wewe na familia yako yote, tafadhali hama haraka sana.
 

Mkuu WALIMWEUSI nashkuru kwa ushauri wako. Lakini nadhani labda wewe unasoma uzi zangu tu! Mimi sio mtoa kashfa. Bali hujibu pale inapo anza kashfa upande wa pili.
MImi ninacho fanya ni kukataza watu kusema uongo juu ya MUNGU MMOJA!
Baaas.!

Na kuhusu suala la kumuacha mtu aabudu dini yake na mimi ya kwangu!

Hio ni sawa.kama mtu huyo atafanya hivyo ki binafsi.!

Mtu ana uhuru wa kuabudu hata mkewe au mumewe akitaka. Lakini asije humu kuudanganya umma kuwa DINI yake ni ya kweli. Na asimsingizie MUNGU WA KWELI. uongo!!

Akifanya hivyo. Sisi tunao muabudu Huyo MUNGU MMOJA! Tutamkosoa. Apende au asipende!

We kaabudu hata mti! Lakini fanya kwako kimya!

Usije humu ukatwambia MUNGU ANA MTOTO. na MUNGU ALIKUFA HALAFU AKAFUFUKA!. na MUNGU ALITUNDIKWA MSALABANI!!

Huyo ni Mungu gani wakuchezewa namna hio.!!? Hata yule muhalifu watu hawamfanyi hivi. Vipi watu wamchezee MUNGU MKUU. namna hii.
Is beyond my imagination!

Huu ni UONGO ulio wazi! Juu ya MUNGU MUUMBA. na kama sisi waumini wa MUNGU MMOJA tutakaa kimya!

Basi jamii inaweza kuingia kwenye shimo na laana kubwa mno. Ambayo itatuathiri wote.

Ni hilo tu.
 
Last edited by a moderator:
unajua hapa mtarumbana mpaka mwisho wa dunia na hamtapata jibu,simply bcoz,mko kwenye imani 2 tofauti!........
 
na ww mwenye tatizo/mtoa mada, km imani yako ni mkristo,jua unatakiwa umpokee Yesu, na uwe unaomba na kusali! Coz according 2 maelezo yako hayao ni manguvu ya giza/demons
..ckushauri kwenda kwa waganga,coz hakuna mganga anaetoa pepo,bali atakuongeza yenye nguvu kushinda uliyonayo
 

Eiyer kwanza naomba nikupongeze kwa kutoa jibu na nimekupa "like" 1 na laity ningeweza kukupa zaidi ya hiyo basi ningekupa "like 1000!".

Nafurahi kuona thread zangu zina sababisha smile in your face! na mimi pia za kwako ninanifurahisha vilevile,

hii ni good sign kuwa mimi na wewe hatuna ugomvi bali , tuna elimishana, na kupanuana mawazo juu ya Kumjua huyo MUNGU MMOJA!

Na naomba MUNGU MKUU kuwa awafanye wafuasi wake yesu woote wakubali NA kuamini kama ulivyo kubali wewe kuwa, MUNGU NI MMOJA TU! wala hana mshirika katika UUNGU WAKE. .amen!

Na kama utaabudu huyo MUNGU MMOJA TU. NA UKAMPA SIFA ZAKE ZILIZOKMILIKA, hakika utakuwa ni katika wenye kufaulu.

Nikirejea kwenye maswali yako,

namna ulivyo uliza swali kidogo nilikuwa naomba ufafanue ili nitoe jibu sahihi!

Namna nilivyo jifunza bible mimi huenda ikawa nitofauti na wewe,!

Kwa ufahamu wangu wa haraka haraka, kwenye hili swali!

kwa mujibu wa biblia. mtoto wa ahadi alipewa nabii Abraham, na jina lake anaitwa, Isaac.!

na kama hapa unamaaisha marry kubashiriwa uzao wa nabii Yesu, basi utanisamehe kwa kutoelewa swali,

Kuhusu ahadi ni ipi iliyo hidiwa!

again! hapa nimeshindwa kuelewa swali, kama unaulizia ahadi ya MUNGU juu yetu,
Nadhani mungu ameahidi ahadi nyingi tu ndani ya bible.

Naomba uniwekee wazi maswali yako yote ili nipate kukujibu kadri ninavyo fahamu.

Na kuhusu suala la Paulo!

sio mtazamo wangu binafsi bali biblia ndio inatuonyesha wazi juu ya maisha yake yote,
Na MUNGU ametupa fahamu na akili, ili tuitumie ktk kutafuta ukweli ndani ya maisha yetu.

Ndio maana hata Hakimu anaposikiliza kesi, kwanza huwa hamjui yole mtuhumiwa! lakini baada ya kumuhoji na kuangalia matukio yote na mazigira ya ile kesi, ana amua kutoa hukumu kuwa huyo ni guilty au innocent!

Na wewe ukiangalia historia ya huyu Paulo na wanafunzi asili wa Yesu, basi mwenyewe utaona waazi kuwa huyu Paulo hana sifa hata moja ya kuwa nabii wa kweli.


Yesu anasema:

"MANY WILL COME USING MY NAME SAYING: 'I AM THE MESSIAH, RABBI,PASTOR, TEACHER'
(Matthew 24:5. Matthew 23:8,10).

Sasa kabla hatuja zama ndani kuhusu hili suala la unabii wa uongo wa Paulo,
we ndugu Eiyer naomba ujiulize kitu kimoja tu!!

UNABII SIO CHEO AMBACHO MTU ANAWEZA KUJIPA TU KAMA MENEJA WA KAMPUNI!! LAZIMA UCHAGULIWE NA MUNGU!!

NANI ALIMPA RUHUSA PAULO KUWA NABII!?? Wakati yeye amekuja miaka mingi mno BAADA YA YESU KUONDOKA??

Jibu utaona ni , hakuna kiumbe wa kawaida anae weza kujipa unabii bila amri ya MUNGU.

kote kule nyuma kabla ya huyo paul , ALIABUDIWA MUNGU MMOJA TU!

Na kama umeisoma biblia vizuri utaona kuwa hapo ulipoanzia huo unabii wa Paulo, NDIPO ULIPOANZWA KUTAJWA MUNGU BABA, MWANA , NA ROHO. na ndipo MUNGU aliposemwa kuwa ana MTOTO!

JIULIZE mwenye ndugu Eiyer hii yote ni bahati mbaya??

Nasubiri ufafanuzi wa swali lako.

,
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…