Usituchanganyie lugha hapa.!
Yaani wewe maxi. Kama ni paka
Basi lazima utakuwa wale vimburu wa mtaani. Na kama ni mboga basi ni maharage! Ukila lazima uchafue hali ya hewa! Unaruka ruka! Kama umegusa umeme! Jibu maswali yangu!
Nifanyaje,
Nyumba ninayokaa, hali imefikia napigwa na kutishwa usiku wa manane, nimefikia nashindwa kulala maana hali inanitisha. Mara ya kwanza nikilala nilikuwa napata usingizi wa kulazimishwa baada ya hapo nahisi kukualiwa na kitu kizito ajabu najipigapiga kujishtua na inakuwa ngumu mwishowe ndiyo nafanikia , hali iliyofikia sasa hata kama sijasinzia nikijifunika net na shuka, ninapigwa kwa mshindo mdogo kama mtu ananishitua aidha mguuni au kichwani nikijifunua kuangalia sioni lolote, muda mwingine hata kama nimejiegesha tu kitandani nakuta ubaridi wa ajabu unaanza vidole vya miguu mpaka kiunoni na kurudi ikifuatiwa na hali ya uzito wa kama kukaliwa vibaya kuanzia miguuni, nimekuwa nalazimika kutolala kwa siku tatu mfululizo. hali hii ilikuwa inanitokea japo kwa interval hapa nyuma kidogo sasa imezini. Nimeondoka pale (pwani) nipo dar sasa hali hii hainitokei kabisa. Natakiwa kwenda kule kwa kuwa ni kazini, hali ngumu.
Nisaidieni namkamata vipi huyu, nataka kumkamata. nimepima malaria sina minyoo sina what is this
Hujamuelewa?Au?
Hebu tusaidie maana ya " muokozi wa maisha "
Hapa anachokiokoa ni nini!?!
Nauliza tu! Usintukane
Hivi kahtaan ,unapodai kuwa watu wanamsemea Mungu mambo ambayo hawana haki ya kumsemea
'
Hapa unakua unamzungumzia Mungu yupi?
'
According to me,kama nitazungumza mabaya kuhusu mungu Allah au Isa,you Muslim mna haki ya kuni hoji
'
Kama nitamzungumzia Yehova au Yesu,nyie Waislam hamna haki ya kunihoji kwa kuwa,Yehova au Yesu has nothing to do with Islam or Muslims
'
Weka akilini kuwa,Yesu sio Isa wala Allah sio Yehova!
Noana wee Katani ni kipofu. Peleka fujo zako Msikitini, sio hapa kwa wenye akili. Mada tunaifuatilia, na unacho fanya wewe ni KUBWABWAJA TU.
Hivi kahtaan ,unapodai kuwa watu wanamsemea Mungu mambo ambayo hawana haki ya kumsemea
'
Hapa unakua unamzungumzia Mungu yupi?
'
According to me,kama nitazungumza mabaya kuhusu mungu Allah au Isa,you Muslim mna haki ya kuni hoji
'
Kama nitamzungumzia Yehova au Yesu,nyie Waislam hamna haki ya kunihoji kwa kuwa,Yehova au Yesu has nothing to do with Islam or Muslims
'
Weka akilini kuwa,Yesu sio Isa wala Allah sio Yehova!
kahtaan ,
Kwanza nianze na hiyo link niliyokuwekea,sio kweli kama unavyodai kuwa wameweka picha za uchi,na sio kweli kuwa wanakashifu Uislam
'
Sijui wewe unaelewa nini kuhusu neno kashfa,mmiliki wa hiyo site ameweka wazi agument zake na yeyote anayeweza ku-debate nae ukiwemo wewe unakaribishwa
'
Anachokisema ni ukweli kuhusu Uislam na ameweka ushahidi wazi,sasa sijui wewe huoni au vipi
'
Kwenye the god au Allah ni small g kwa kuwa hiyo ilikua ni title ya sanamu aliyekuwa anajulikana kama Hubal aliekuwa anaabudiwa arabia pamoja na sanamu zingine 360,Allah au Hubal akiwa mungu mkuu
'
Hivyo al illah iliyozaa allah ilikua title ya Hubal!
Max is very busy, lying to others, I thought this might open your mind!Thanx saana max.am christian i would like to know about the sabath
Unakunywa dawa kabla ya kuumwa, Wewe naona unakomit suicide.
Acheni kulialia kama samaki, leti hoja. Mmeshikwa pabaya sasa hamna pa kutokea.
Max wape vidonge vyao hawa vijana wa Macca
Unafoka kwenye PC kama vile inakusikia vile. :yell::yell::yell::kev::yell::yell::kev:
Apply the blood of Jesus before you sleep. It is imperative.
kahtaan ,inaonekana either hujui unachoongea au unajaribu kuudanganya umma wa wana JF
'
Wacha nikupe shule kidogo
'
Kwanza tambua Mungu sio jina ni sifa,chochote kinachoabudiwa hupewa sifa au huitwa Mungu
'
Jamii zote zilikua na miungu yao na hiyo miungu ilikuwa na majina na yalikua na maana yake,lakini alikuwepo Mungu wa kweli ambae nae alikua na jina lake na lina maana yake
'
Chochote kilichoabudiwa au kinachoabudiwa huitwa Mungu
'
Mfano,kama kuna watu manaabudu jiwe,jiwe lile huitwa mungu
'
Sasa umeniacha hoi kwa kuniambia eti Yehova kwa kiingerera ni Mungu,tatizo hujui,ni kwamba Yehova ana sifa ya Uungu kwa kuwa anaabudiwa
'
Maana ya Yehova ni NIKO AMBAE NIKO,Yehova kwa kiingerera ni Jehova
'
Kama kuna kamusi au encyclopedia yoyote inayosema Yehova kwa kiingereza ni God,hiyo kamusi inatakiwa IFUTWE
'
Yesu kwa kiingereza ni Jesus sawa,lakini ni jambo la ajabu kudai Isa ni Jesus
'
Jina Yesu limetokana na jina hilo la Yesu kwa kiarabu ambalo ni Yashu,na Yashu imetokana na jina la Yesu kwa kiebrania ambalo ni Yeshua.Jesus kwa upande wa kiingereza limetokana jina la Yesu kwa Kigiriki ambalo ni Ihesus,Ihesus imetokana na jina la Yesu kwa kiebrania ambalo ni Yeshua
'
Isa is something different,ni jina la kiarabu ambalo halina tafsiri yoyote,as well as Allah
'
Allah anapewa sifa ya uungu kwa kuwa anaabudiwa,lakini sio kwa kuwa anaabudiwa basi ataitwa Yehova,hii ni sawa na useme kwakuwa ng'ombe anabudiwa basi anaitwa Allah
'
Ng'ombe anaweza kuitwa mungu lakini hawezi kuitwa Allah kwa kuwa Allah ni jina la mungu wa Wakuresh!
Nawewe mbona unajifunga mwenyewe na hilo andiko ulilo toa? Andiko linasema "KWA JINA LANGU WATATOA MAPEPO" wakati kazi ya huyo nabii wa uwongo (MAX) yeye hatumii jina la YESU (kama andiko linavyo sema) bali yeye anatumia DAMU YA YESU ktk kutoa mapepo. Ukiangalia hapo utakuta kuna tofauti kubwa kati ya amri ya yesu na matibabu ya huyu nabii wa uwongo. (samahani kwa kuingilia mjadala)kahtaan ,inaonekana wewe ndio hujui biblia na ni mwongo
'
Marko 16:15-18,Yesu anasema, Enendeni ulimwenguni mkaihubiri kwa kila kiumbe,aaminiye na kubatizwa ataokoka,asieamini atahukumiwa,na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio,KWA JINA LANGU WATATOA PEPO,watashika nyoka,hata wakinywa kitu cha kufisha hakitawadhuru kabisa,WATAWEKA MIKONO YAO JUU YA WAGONJWA NAO WATAPATA AFYA(zingatia nilipoweka herufi kubwa)
'
Hayo ndio mamlaka aliyonayo MaxShimba ,mimi na yeyote amuaminie na kumkiri Yesu Kristo,Mungu mkuu!
'
Soma uelewe na Yesu akuokoe!
Samahani mkuu kama nitakua nadandia gari kwa mbele. Umesema Yesu unae mtambua wewe ni MWANA WA MUNGU, siku bishii na sipo hapa kwa kubishana, ila itakua vizuri na nivyema kwa sisi wengene kama ungetu thibitishia maneno yako (yesu ninae muamini mimi ni mwana wa mungu) kupitia andiko lolote ndani ya biblia linalo thibitisha kua YESU NI MWANA WA MUNGU. Kama huna biasbathi thibitisha kua YESU umwaminie wewe sio YESU alie ndani ya bible. (natanguliza samahani)kahtaan ,
Huyo yesu unaemzungumzia wewe sio Yesu ninaemzungumzia mimi huyo atakua unamjua wewe wala sijapata kumsikia
'
Yesu ninaemzungumzia mimi ni Mwana wa Mungu,ni Mungu,ndie aliyeumba ulimwengu na vilivyomo,ndie atatuhukumu siku ya mwisho
'
Kwa kuwa tunazunguzia watu tofauti huna haja ya kunikosoa ninapomzungumzia Yesu NINAEMUABUDU
'
Nawe sitakukosoa kwenye kile utakachomsemea huyo wako!