Acha kudanganya watu huna chochote unachojua kuhusu bibilia,naona unataka kujilinganisha na Mungu..
Yesu wa kweli. Mtoto wa maria. Msema ukweli na Nabii wa Mungu mkuu
Wa wapi huyu?Nabii wa Mungu yupi?
Nifanyaje,
Nyumba ninayokaa, hali imefikia napigwa na kutishwa usiku wa manane, nimefikia nashindwa kulala maana hali inanitisha. Mara ya kwanza nikilala nilikuwa napata usingizi wa kulazimishwa baada ya hapo nahisi kukualiwa na kitu kizito ajabu najipigapiga kujishtua na inakuwa ngumu mwishowe ndiyo nafanikia , hali iliyofikia sasa hata kama sijasinzia nikijifunika net na shuka, ninapigwa kwa mshindo mdogo kama mtu ananishitua aidha mguuni au kichwani nikijifunua kuangalia sioni lolote, muda mwingine hata kama nimejiegesha tu kitandani nakuta ubaridi wa ajabu unaanza vidole vya miguu mpaka kiunoni na kurudi ikifuatiwa na hali ya uzito wa kama kukaliwa vibaya kuanzia miguuni, nimekuwa nalazimika kutolala kwa siku tatu mfululizo. hali hii ilikuwa inanitokea japo kwa interval hapa nyuma kidogo sasa imezini. Nimeondoka pale (pwani) nipo dar sasa hali hii hainitokei kabisa. Natakiwa kwenda kule kwa kuwa ni kazini, hali ngumu.
Nisaidieni namkamata vipi huyu, nataka kumkamata. nimepima malaria sina minyoo sina what is this
Eiyer, kutokana na maelezo yote hayo ya kahtaan bado unamkana Yesu kwenye hiyo post yako hapo juu!Sijui lengo lako kuuliza swali hili. Lakini ntarudia jibu!
Yesu ninae mfahamu mimi na kumkubali ni yule :
Yesu mwana wa maria.
Yesu wa Nazareth.
Yesu ambae ni BINAADAMU kama mimi na wewe na wala SIO MUNGU!
Yesu aliye kataza ibada ya masanamu.
Yesu aliesali ndani ya sinagog.
Yesu aliekuja kwa ajili ya wana kondoo wa nyumba ya israel PEKE YAKE.
Yesu ambae alizaliwa bila baba na akatangaza neno la MUNGU!.
Yesu ambae hajajiita mwana wa mungu!
Bali watu wamempa sifa asizo kuwa nazo!
Yesu ambae alikuwa akiponya KWA IDHINI YA MUNGU.na sio kwa uwezo wake BINAFSI!
Yesu ambae ibada na maombi yake yoote akielekeza kwa MUNGU MKUU!
NA
Yesu aliye abudu MUNGU MMOJA.
Huyu ndio Yesu ninae mtambua na kumuheshimu. Na nitaendelea kumtetea mpaka siku yangu ya mwisho. Kama atatokea mtu kumsingizia na kumpa sifa ambazo sio za kwake.!
Nadhani nimekujibu! Izz Ritz hargeisa GLOBAL
EIYER ,kwanza napenda nikusifu kuwa wewe ni tofauti na huyo mchungaji MAXSHIMBA,wewe unajenga hoja , japo kuwa hoja zako huziweki na ushahidi, mwenzako yeye ni kashfa tu, sasa naomba unisaidie kitu kimoja tu! Ili mimi na wewe tumfuate Yesu unaemjua wewe,! naomba andiko YESU ANASEMA "MIMI NI MUNGU NIABUDUNI" AU "MIMI NI MUNGU MKUU" AU "MIMI MWANA WA MUNGU AU "MIMI MUUMBAJI WA MBINGU NA VILIVYOMO" AU "MIMI NDIO NITAHUKUMU SIU YA MWISHO", Ukinionyesha chochote ktk hivi kwenye ndiko, mimi nakuahidi ntamfuata huyo Yesu wako! Ahsante , nasubiri jibu1kahtaan ,
Huyo yesu unaemzungumzia wewe sio Yesu ninaemzungumzia mimi huyo atakua unamjua wewe wala sijapata kumsikia
'
Yesu ninaemzungumzia mimi ni Mwana wa Mungu,ni Mungu,ndie aliyeumba ulimwengu na vilivyomo,ndie atatuhukumu siku ya mwisho
'
Kwa kuwa tunazunguzia watu tofauti huna haja ya kunikosoa ninapomzungumzia Yesu NINAEMUABUDU
'
Nawe sitakukosoa kwenye kile utakachomsemea huyo wako!
Yesu wa kweli. Mtoto wa maria. Msema ukweli na Nabii wa Mungu mkuu
Which book did you find these translations!! Maxboy!