Eiyer kuna swali muhimu nimekuuliza hapo juu! Lkn naona jibu sijapata!kahtaan ,nilikujibu kutokana na swali lako,uliniuliza nani kaumba kila kitu
'
Siwezi kukujibu kimkato tu lazima nikupe na maelezo,sory kama nimekukwaza
'
Ki ukweli,ninachotaka watu waelewe hapa ni kuwa,Mungu wa kweli ni MMOJA TU,kama Mungu huyo ni mmoja atakuwa na jina lake moja ambalo ni Yehova TU,hawezi kuwa na majina mawili
'
Kama huyu ndie wa kweli ndie atakuwa MUUMBAJI hakuna mwingine
'
On the other side kuna Quran,Quran inadai kuwa Mungu wa kwenye biblia ndo huyohuyo aliyeleta Quran hivyo wanaoifuata lazima waikubali Injili
'
Hapa kuna matatizo makubwa yafuatayo
Kama Mungu ni yuleyule kwanini majina yake yawe tofauti?Allah na Yehova ni majina yaliyotokana lugha tofauti na hayana maana moja,kila jina linawilisha kitu tofauti,Kwanini?
'
Kwenye Quran kuna Isa,huyu hakufa na ni nabii wa Allah na alikuja kwa ajili ya Waisraeli tu
Kwenye Biblia kuna Yesu huyu alikufa msalabani,ni MWANA Wa MUNGU na ni MUNGU,ndie aliyeumba VYOTE,alikuja kwaajili ya ulimwengu wote na ndie atakaeuhukumu ulimwengu.
'
Hawa Isa na Yesu ni watu wawili tofauti kuanzia majina hadi majukumu yao
'
Hapa tunaona kuna tofauti kati ya Mungu wa Biblia na Quran
'
Kwanini Quran iseme ni huyo huyo mmoja?
'
Hapa kuna mambo mawili
'
Moja;Quran imedanganya
Pili;Mwandishi wa Quran alijaribu kuifananisha na Biblia kitu kinachomfanya mwandishi huyo asiwe Mungu kwani Mungu hakosei!
Naona sifa za munguwako hizo hapo juu umepewa na Mtumishi Maxi
We shal see the Jesus,how he was
Ordering the KILLINGS of many people
Zephania 2;12-15
You Ethioians wil also be slaughtered by my sword .Says the Lord.And the Lord wili srike the land of the earth with his fist .He will destroy Assyria.
Kijana kalale na biblia, iyo kitu hutaiona tena, iweke chini ya mto unaolalia
The different between muslims and you mrs liar" is
Nobody has to die a shameful death. On the cross for our sins.
God didnt have to kill his beloved prophet for the filth sins of people like you!
We are responsible for our actions! And we will be judged according to our actions.
You don't have to do any good! You can rape. Kill children molested.and pedophilia activities. All that "no problem"!!
Jesus has already took a ride on the cross so he can cover all your sins
.
Teh teh teh teh.
That sounds very promising and mentally insane!
...........Huyo jamaa MaxShimba anatupia craps hata yeye mwenyewe hazielewi !?:laugh:
Huu ni mchanganyiko wa akili!
Na kama hiki kingekuwa chakula!
Basi atakae kula lazima afe! Manake lazima itakuwa sumu!
Teh teh teh teh teh!!
Mkuu kahtaan, huyu Muchungwaji MaxShimba hana hoja hata kiduchu!
Kazi yake ku-copy na ku-paste hoja zilizowahi kujadiliwa kwenye tovuti mbali mbali na wenzie Wakashindwa kwa hoja hizo dhaifu na kuwafanya waingie kwenye dini yetu ya kweli!
Nawe muchungwaji MaxShimba unakaribishwa, husione aibu kuijua kweli tehe tehe tehe!