Jamani huu ni ugonjwa ama ni nini?

Jamani huu ni ugonjwa ama ni nini?

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Mimi nina umri wa miaka 27 sijaoa, huwa nina hisia za haraka sana.

Nikigusana na jinsia ya kike huwa uume husimama ,hata nikiwa naongea na rafik yangu wa kike huwa uume husimama.

Nakumbuka siku 1 natoka kariakoo ili nishuke magomeni usalama,nikashndwa kushuka kwa kuwa uume ulikuwa umesimama,nilikuwa nimekaa na mdada.

Nikaenda kushuka manzese darajani. Huwa mda mwingne nakosa raha. Ndg wana JF, huu ni ugonjwa au nguvu za kiume zimenizidi?. Naombeni ushauri wenu kwa kweli ili nisije aibika .

Natangulia kutoa shukrani,kwa mtakaonipa ushaur nini cha kufanya. MUNGU awalinde.
 
sio wewe tu ni vijana wengi wana hii hali. Nadhan kila ukimuona jinsia ya kike unawaza ngono ndo hapo tatizo linakuja. Jaribu kucontrol mawazo na hisia zako.
Wapo vijana akiona jinsia ya kike anamtazama uchi wake, anamvua na anafanya nae mapenz (KWA MAWAZO/HISIA) ndo mwisho wa siku mambo kama haya yanawatokea.
 
Pole mkuu! i was first like that during my adolescence.

but when i got a first hit, things changed.

itafikia hatua hii hali uliyonayo itakuwa vice versa!

Just wait...
 
Kwani huogi? Unaogea sabuni gani?

It smells like a fish!
 
Pole mkuu! i was first like that during my adolescence.

but when i got a first hit, things changed.

itafikia hatua hii hali uliyonayo itakuwa vice versa!

Just wait...

Vice versa hahaaaa!!!!! Ujana raha sana. Big up.
 
Vice versa hahaaaa!!!!! Ujana raha sana. Big up.

Habari ndo hiyo mkuu!

siku akifikia malengo ya milenia ya kuwalala wanawake 6 kwa siku, atawaona kero!

kuna watu hata uwavulie sketi na kipedo ubaki na hips zako, wanakuangalia tu kama picha japo stimulations anazo!

kuna wakati ubongo unaji switch-on-off when it comes to sex...

ni mazoea tu, hakuna la ziada!
 
Swadaktaaaaaa

Similar Discussions

Back
Top Bottom